Kitaifa

Home Kitaifa Page 3

YANGA, MBEYA CITY HII NDIO STORI YAO LEO….

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Dar Young Africans kesho watacheza mechi ya tatu ya kirafiki katika kambi yao ya Mbeya ambapo watachuana na Wagonga...

SIMBA SC YAIIGA YANGA SC,YAMSHITAKI REFA ALIYEACHIA OKWI APOTEZE FAHAMU

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Yanga SC baada ya kushikwa na maafande wa Ruvu Shooting Stars Jumamosi ya wiki juzi, ilipeleka malalamiko katika Shirikisho...

RUNGU LA TFF LAMUANGUKIA NYOSSO…ADHABU KALI YAMUANGUKIA

Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la...

JAJA AMZIDI KETE COUTINHO, AIFUNGIA YANGA AKIICHARAZA 1-0 THIKA UNITED

Sehemu ya mashabiki waliohudhuria mechi ya leo. (Picha na Frank Momanyi) Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MBRAZIL Geilson Santos Santana ‘Jaja’ kwa mara ya kwanza...

Picha 12: Manji aikabidhi Yanga ekari 715 zijengwe uwanja wa kisasa

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Bw. Yusuph Manji ameikabidhi Yanga eneo la ekari 715 lililopo maeneo ya Gezaulole, Kigamboni kwa ajili ya ujenzi wa...

Braking News: Azam mbioni kumnasa kipa wa Ivory Coast

Uongozi wa Azam FC upo katika hatua za mwisho kumsajili mlinda lango wa Jeunesse ya Ivory Coast Vincent Atchouailou de Paul Angban. Mchezaji huyo anatarajiwa...

JOHN BOCCO NI HATARI AISEE!! ‘ONE TOUCH’ GOLI AZAM FC IKIINYUKA 2-0 AL MERREICK...

DESEMBA 28, 2014, Nahodha wa Azam fc, John Raphael Bocco ‘Adebayor’ aliifungia klabu yake bao la pili la kusawazisha na kulazimisha sare ya mabao...

Michuano ya Kikapu Afrika Mashariki na kati yaendelea kutoa burudani

Mashindano ya mpira wa kikapu yanayoshirikisha majiji ya Afrika Mashariki na Kati yamezidi kushika kasi, michuano hiyo imeendelea tena leo kwa michezo minne kupigwa...

PROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA WANAWAKE

Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na...

UNAYAJUA MAJUKUMU YA WATU KAMA NADIR HAROUB `CANAVARO` KWENYE MPIRA WA MIGUU? SONGA NAYO….

Kiongozi: Nahodha wa Yanga sc na timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars, Nadir Haroub `Cannavaro` mwenye jezi namba 13 wakati walipolazimisha sare ya...

KOZI YA UKUFUNZI WA UTAWALA YA FIFA SASA MACHI

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limesogeza mbele kozi ya ukufunzi ya utawala wa mpira wa miguu iliyokuwa ifanyika Desemba mwaka huu...

RUVU SHOOTING: TUTAISHUSHA SIMBA SC LIGI KUU KESHO

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam LIGI Kuu Tanzania Bara itaendelea kesho kwa mechi tatu, huku maafande wa Ruvu Shooting wakipania kuishusha Simba katika...

TFF YAJITOSA NA `PLAN INTERNATIONAL` KUTETEA HAKI ZA MTOTO WA KIKE

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam NDOA za utotoni zinawazuia mamilioni ya watoto wa kike nchini wasiweze kumaliza shule, kufikia ndoto zao katika maisha na...

Ambokile kuhusu kwenda Yanga, Simba

Akiwa uwanjani hutumia nguvu, kasi na akili, ukitazama kwenye orodha ya wafungaji wa ligi kuu Tanzania bara hadi sasa yeye ndio kinara wa kuzipasia...

WAAMUZI LIGI KUU MSIMU HUU KULIPWA 350,000/-

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Shirikisho la Soka nchini (TFF) limepitisha malipo ya Sh. 350,000 kwa kila mwamuzi wa mechi ya Ligi Kuu ya...

Felix alivyowaokoa Mbeya City

WAGONGA nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc jana walihitimisha dakika 90 za mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa sare ya 1-1...

Breaking : Zanzibar wavuliwa uanachama wa CAF

Ikiwa ni miezi minne tangu chama cha soka cha Zanzibar kipewe uanachama na CAF hii leo habari mpya kutoka CAF zinasema chama hicho kimevuliwa...

SIMBA YAPANDA MPAKA NAFASI YA 4, KAGERA YASHIKA NAFASI YA 3 IKIICHAPA JKT RUVU...

MNYAMA Simba imepanda mpaka nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara kufuatia kushinda mabao 2-0 dhidi ya Polisi Morogoro. Mabao ya...

MKUDE AZIPA TANO MBINU ZA KOPUNOVIC

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Gerrard Mkude amesema kutwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi ni mwanzo mzuri wa kufanya vizuri katika mechi za ligi...

VIDEO: ULIMWENGU AKIPACHIKA GOLI LA PILI DHIDI YA MALAWI

Thomas Ulimwengu aliiandikia Stars bao la pili dakika ya 22 kipindi cha kwanza akimalizia mpira uliomshinda kipa wa Malawi uliopigwa na Haji Mwinyi na...
472,537FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,389FollowersFollow