Kitaifa

Home Kitaifa Page 3

‘Najituma kwenye soka nipate pesa za kumtunza mdogo wangu’ – Kabunda

Na Zainabu Rajabu MOJA ya sababu inayomfanya kiungo wa Mwadui FC ya Shinyanga Hassan Kabunda kucheza soka kwa kujituma ni kutafuta pesa kwa ajili ya...

RASMI: Yanga wametangaza kuachana na Haruna Niyonzima

Taarifa rasmi kutoka klabu ya Yanga ni kwamba, imeamua kuachana na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima baada ya kushindwa kufikia makubalino...

Breaking: Jonas Mkude wa Simba apata ajali mbaya

Masaa kadhaa baada ya kuiongoza timu yake ya Simba SC kurejea katika anga ya kimataifa kwa ushindi wa kombe la Azam Sports Federation Cup...

Video: Walichofanya Azam FC kwa Bocco sio poa’ – Shaffih Dauda

Timu ya soka ya Azam FC imeachana na mshambuliaji wake tegemeo wa muda mrefu John Raphael Bocco baada ya mkataba wake kumalizika, lakini ukweli...

Malalamiko ya Simba kuhusu pointi 3 yametua FIFA

Makamu wa Rais wa klabu ya Simba Geoffrey Nyange 'Kaburu' amesema, tayari wametuma malalamiko yao FIFA kuhusu pointi tatu walizonyang'anywa na TFF baada ya...

Jicho la 3: ‘Si Kamusoko, Lwandamina, Ndemla ndio waliipoteza Yanga’

Na Baraka  Mbolembole KOSA la kwanza la kocha, George Lwandamina ni kumuacha benchi nahodha, Nadir Haroub na kumuanzisha Vicent Andrew katika nafasi ya beki wa kati. Kocha...

Video: Jibu la Msuva baada ya kuulizwa kama ataondoka Yanga

Mfungaji bora wa Yanga na VPL Simon Msuva amesema kuna ofa nyingi zinazomtaka kuondoka kwenye klabu hiyo lakini kwa sasa bado anamkataba na Yanga...

Video: Jafar Idd amewataja wachezaji waliotemwa Azam

Klabu ya Azam mbali na kukanusha kuhusu Manuala kuiacha klabu hiyo na kujiunga na Simba, wamezungumzia mambo mengine matatu yanayoihusu klabu yao. Mambo yaliyozunguzwa na...

Jicho la 3: Kama ningekuwa katika nafasi ya Aveva/MO Dewji ningefanya tafakari kuhusu ‘kauli...

Na Baraka Mbolembole Geofrey Nyange Kaburu ana nyadhifa ngapi katika soka la Tanzania? Tatizo la soka la Tanzania linaanzia hapo na msemaji wa klabu ya...

Rasmi: Imethibitishwa Haruna Niyonzima ni mchezaji halali wa Simba

Afisa Habari wa klabu ya Simba amethibitisha kwamba Haruna Niyonzima ni mchezaji halali wa klabu hiyo mara baada ya kumaliza mkataba na klabu yake...

Barua ya Manji kujiuzulu Yanga

Barua iliyosainiwa na Yusuf Manji Mei 22, 2017 inaonesha kwamba Manji ameachia rasmi nasasi ya uenyekiti wa klabu ya Yanga na makamu mwenyetiki wa...

Simba imemtambulisha mchezaji mpya

Asubuhi ya leo Juni 15, 2017 zilitoka taarifa kwamba, klabu ya Simba imesainisha Ally Shomari mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba, taarifa ambazo pia...

Kutoka Chelsea hadi kusikojulikana, yuko wapi Adam Nditi?

Maswali yamekuwa mengi kuhusian na alipo kwa sasa Mtanzania Adam Nditi ambaye alikuwa akiichezea Chelsea, miongoni mwa watu waiohoji alipo Nditi ni mkali wa...

Cannavaro amezungumzia jezi aliyobadilishana na Eto’o na mahali ilipo

Unaukumbuka ule mkasa wa Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kubadilishana jezi ya timu ya taifa na mshambuliaji wa Cameroon Samuel Eto’o? Nakusogezea Cannavaro alivyoelezea stori nzima...

Neno la Mkwasa kwa wenye wasiwasi kuhusu Donald Ngoma

Kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu mchezaji wa Yanga raia wa Zimbambwe Donald  Ngoma huenda akaiacha klabu hiyo na kwenda kutafuta maisha ya soka sehemu...

Alichokiandika Himid Mao baada ya kumuumiza ‘mkata ueme’

Kiungo na nahodha msaidizi wa Azam FC Himid Mao ‘Ninja’ kupitia ukurasa wake wa twiter amempa pole kiungo wa Yanga Justine Zulu ‘Mkata umeme’...

Exclusive: Yanga wazungumzia kuhusu kuondoka kwa Ngoma, Msuva, Nyionzima na usajili wa Ajib

Achana na suala la Emmanuel Okwi kurudi Simba lakini mtaaani habari kubwa nyingine ni kuhusu Ibrahim Ajib kusaini Yanga suala ambalo ni kizungumkuti na...

Ukweli kuhusu taarifa za Bakhresa kuweka ‘mzigo’ Simba

Kuna taarifa imeenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba tajiri Said Salim Bakhresa ameonesha nia ya kuwekeza ndani ya klabu ya Simba katika mchakato mpya...

Kaburu na Aveva Ndani mpaka July 13 – Haya hapa makosa yao 5

Rais wa Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange wamepelekwa Rumande baada ya kukabiliwa na mashitaka matano ikiwemo ya utakatishaji fedha ambayo hayana dhamana. Washitakiwa wote...

Wachezaji wa Yanga waliotua leo Dar, wamegoma kupanda basi la klabu yao

Na Zainabu Rajabu WACHEZAJI wa timu ya Yanga SC waliofika leo April 18, 2017 kutoka Algeria wamegomea kupanda basi la klabu hiyo baada ya kutua...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow