Kitaifa

Home Kitaifa Page 3

Ali Kiba alia na mwamuzi #CoastalVsYanga

Star wa BongoFleva na mshambuliaji wa Coastal Union Ali Kiba amesema waamuzi waliochezesha #CoastalVsYanga timu yao ilionewa na waamuzi. "Uonevu ulikuwa LIVE yani"-Ali Kiba. Kocha wa...

Shaffih Dauda yupo kwenye soka la kisasa, wanaomtukana bado wapo Analog

Shaffih Dauda moja kati ya jina kubwa katika soka la Tanzania . Sio kwamba ameucheza mpira wa miguu kwa ngazi kubwa za kitaifa Laa.!...

Ndondo Cup yatimiza ahadi kumpeleka mchezaji Ulaya

Mchezaji bora wa Ndondo Cup Academy Rabbin Sanga ameondoka usiku wa kuamkia leo Jumapili February kuelekea nchini Uturuki kufanya majaribia ya siku 10 kwenye...

TFF kuhusu udhamini #LigiKuuTanzaniaBara

Rais wa TFF Wallace Karia kupitia hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa TFF 2019 amesema bado wapo katika mkakati wa kutafuta mdhamini wa ligi...

TFF kupokea mabilioni ya FIFA

Katika hotuba ya Rais wa TFF Wallace Karia kwenye Mkutano Mkuu wa TFF 2019, amesema FIFA imetengua zuio la gawio la fedha kwa TFF...

EXCLUSIVE: Ambokile atua Sauz kusaini Black Leopards 

Mshambuliaji wa Mbeya City Eliud Ambokile ameondoka leo kwenda South Afrika kufanya mazungumzo ya kujiunga na Black Leopards inayoshiriki ligi kuu (PSL). Awali Ambokile alienda...

Kakolanya kaomba kuondoka Yanga

Beno Kakolanya kupitia mwanasheria wake ameandika barua kwa uongozi wa Yanga akiomba kuvunja mkataba! Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samuel Lukumay amethibitisha kupokea barua kutoka kwa...

Mbao yapokewa kifalme Mwanza

Ni mafanikio kwa Mbao kwa sababu imecheza mechi tatu bila kupoteza ndani ya dakika 90 huku ikiwa imeruhusu goli moja tu ukiachana na penati...

Kwa nini ushindani umeshuka kwenye ligi yetu?

Baada ya timu zetu za Tanzania (Simba, Yanga, Singida United na Mbao FC) kushindwa kufika fainali ya SportPesa Cup wadau wengi wanasema huenda ligi...

“Messi ni kiumbe kingine”-Shaffih Dauda

Mjadala wa nani mchezaji bora wa muda wote kati ya Legend wa Argentina Diego Maradona na mnyama Lionel Messi umezidi kupamba moto. Sir Alex Ferguson...

Abdallah Hamisi: “Ligi ya Kenya inaushindani kuliko Tanzania”

Mtanzania Abdallah Hamisi anaechezea Bandari FC ya Kenya ametofautisha ligi ya Kenya na Tanzania kwa kusema, ligi ya Kenya ina ushindani na timu yoyote...

Alichofanya Manara kilipaswa kufanywa na Simba

Haji aliingia Simba kama mtu wa kawaida sana alikua mtu anayejulikana na watu wachache ila hakuwa maarufu, amewahi kupita Radio Uhuru lakini si wengi...

“Mapinduzi Cup, SportPesa, HAIKUWA TARGET YANGU”-Kocha Simba

Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema mashindano ya Mapinduzi Cup na SportPesa hayakuwa kwenye mipango yake. Mipango yake ni kufanya vizuri kwenye ligi ya mabingwa...

Vilabu vya Bongo vinaacha Mil 70 SportPesa, ligi haina mdhamini!!

Mwandishi na mchambuzi wa michezo Tanzania Charles Abel amesema vilabu vya Bongo vilizidiwa uwezo na timu za Kenya kwenye mashindano ya SportPesa yaliyomalizika mwaka...

Golikipa bora SportPesa Cup amezaliwa Azam, hakuaminiwa

Golikipa Metacha Mnata wa Mbao FC ya Mwanza amechaguliwa kuwa golikipa bora wa mashindano ya SportPesa Cup 2019, baada ya kuonesha uwezo wa juu...

Vialabu vya Tanzania vimeshindwa kubeba SportPesa Cup

Kwa mara ya tatu mfululizo kombe la SportPesa linakwenda Kenya baada ya vilabu vya Tanzania kushindwa kufua dafu mbele ya vilabu vya Kenya. Hii ni...

Manara unakula matunda ya mti wako (Part 2)

Mashabiki wana haki ya kumbana Manara kuhusu matokeo ya timu yao! Haji anatengeneza matatizo halafu yanamrudia mwenyewe, kwa nini una-panic mashabiki wanapohoji kuhusu matokeo mabovu...

Manara unakula matunda ya mti wako (Part 1)

Afisa habari wa Simba jana aliwajia juu mashabiki wa soka wanaomkalia kooni baada ya Simba kufungwa na Bandari kwenye mashindano ya SportPesa na kupoteza...

Nikki wa Pili kalibutua BAKULI la Yanga

Mkali wa BongoFleva Nikki wa Pili kutoka kundi la #WEUSI ameponda utaratibu unaotumiwa na klabu ya Yanga kuchangisha mashabiki kwa style ya #BAKULI uwanjani...

Shaffih Dauda ampigia debe Coulibaly Simba

Baada ya ujio wa wachezaji watatu kufanya majaribo kwenye klabu ya Simba, kumekuwa na tetesi huenda beki Zana Coulibaly akaoneshwa mlango wa kutokea endapo...
473,621FansLike
169,928FollowersFollow
72,213FollowersFollow