Friday, February 23, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

Daktari Simba kazungumzia majeraha ya Bocco

Daktari wa Simba Yassin Gembe ametoa ufafanuzi kuhusu majeraha ambayo amepata John Bocco kwenye mchezo wa Mwadui vs Simba. Bocco aliumia dakika chache kabla kipindi...

Mkude lawamani sare ya Simba Shinyanga

Baada ya Simba kulazimishwa sare ya kufungana 2-2 na Mwadui mkoani Shinyanga, baadhi ya mashabiki wametupa lawama zao kiungo wao Jonas Mkude ambaye aliushuhudia...

Mwadui yachafua daftari la Manula

Rekodi ya Aishi Manula kutoruhusu goli kwa michezo sita mfululizo ya ligi kuu imeishia kwa Mwadui ambao wameivunja rekodi hiyo kwa kumtungua mabao mawili...

“Simba wameponea mgongo wa refa”-Kocha Mwadui

Kocha wa Mwadui FC Ally Bizimungu amesema kama asingekuwa mwamuzi, leo 'mnyama' alikuwa anakufa pale CCM Kambarage, Shinyanga. Bizimungu amesema soka la Tanzania lipo vizuri...

Hatimaye Okwi amemaliza ubishi nyavu za mkoani

Hatimaye Emanuel Okwi amefunga goli la kwanza nje ya Dar kwa mara ya kwanza tangu msimu huu (2017/18) umeanza. Licha ya kuongoza kwa kupasia nyavu...

Mnyama kakwama Shinyanga

Mwadui wameisimamisha Simba baada ya kushinda sita (6) mfululizo za ligi kuu Tanzania bara, Mwadui wamelazimisha sare ya kufungana 2-2 kwenye uwanja wa Kambarage...

Nonga na wenzake wataweza kuuzuia moto wa ‘mnyama’

Wakati Yanga jana ikipata ushindi mkubwa  kwa kuifunga Majimaji 4-1 katika mchezo wa VPL uwanja wa Taifa, leo ni zamu ya mnyama Simba ambaye...

Okwi anatafuta rekodi mbili Shinyanga

Leo Alhamisi ya Februari 15, 2018 mchakamchaka wa ligi kuu Tanzania bara, Simba ipo mkoani Shinyanga kupambana na Mwadui kwenye uwanja wa Kambarage. Wakati watu...

Yanga wanamkimbiza mnyama kimya kimya…MajiMaji wapigwa 4

Yanga imeendelea kushinda mechi zake za ligi kuu Tanzania bara licha ya wachezaji wake wengi kuwa nje wakiuguza majeraha, leo Jumatano Februari 14, 2018...

Hesabu za Yanga kwa Simba haziwaachi salama Majimaji

Leo Jumatano ya Februari 14, 2018 wakati watu wengi wakiwa kwenye shamrashamra za Valentine's Day, Yanga na Majimaji watakuwa wakisambaza upendo uwanjani kwenye mchezo...

STORY KUBWA