Kitaifa

Home Kitaifa Page 21

Yanga imepoteza pointi mbili Mbeya

Mbeya City ikiwa na wachezaji 10 uwanjani imeilazimisha Yanga sare ya kufungana 1-1 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa Sokoine Mbeya. Mbeya City...

Kocha Mtibwa afunguka ubora wa Dilunga

Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Hassan Dilunga yupo kwenye kiwango cha juu miongoni mwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza eneo la kiungo wa ushambuliaji. Dilunga...

Mbeya City yaigomea Yanga

Uongozi wa Mbeya City kupitia afisa habari klabu hiyo umesema kama klabu haitakubali kufungwa na Yanga kwenye uwanja katika mchezo wa ligi kuu unaotarajiwa...

Mkuu wa Wilaya amtabiria makubwa striker Lipuli

Mshambuliaji wa Lipuli FC Adam Salamba Jumamosi ya Aprili 21, 2018 aliifungia timu yake bao ilipocheza dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Samora Iringa...

Simba macho yote kwa Yanga

Baada ya kubanwa na Lipuli na kujikuta ikiambulia pointi moja mkoani Iringa, sasa mipango ya Simba ni kushinda mechi yao ijayo dhidi ya Yanga...

Ushauri wa Matola “Simba iamke ikitaka kushinda mechi ya Yanga”

Kocha msaidizi wa Lipuli Selemani Matola amesema alikuwa anaiogopa Simba lakini timu hiyo imecheza chini ya kiwango dhidi ya timu yake kuliko mechi zote...

Sababu fainali FA Cup kupelekwa Arusha zatajwa

TFF imetangaza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup itachezwa Juni 2, 2018 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha. Mwaka 2017 mchezo...

Kocha Stand United alia na uwanja

Safari ya Stand United kuwania ubingwa wa Azam Sports Federation Cup imekatishwa na kwenye uwanja wao wa Kambarage shinyanga baada ya Hasaan Dilunga kuifungia...

Kocha wa Mtibwa afichua siri ya mafanikio

Baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup, Mtibwa Sugar imefuzu kucheza...

Mtibwa yatangulia Arusha

Magoli mawili ya kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga yameipeleka fainali Mtibwa ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa magoli 2-0...

Video-Nahodha wa Yanga kuhusu kufuzu makundi na ubingwa VPL

Nahodha wa yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amezungumzia kuhusu hatua makundi waliyoingia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika baada ya kufanikiwa kuitoa Wolaitta Dicha...

Video-Alichozungumza kocha baada ya Yanga kupokelewa DSM

Baada ya Yanga kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere kocha msaidizi Shadrack Nsajigwa amesema mchezo wao wa marudiano dhidi...

Video-Yanga walivyotua Dar kutoka Ethiopia baada ya kufuzu makundi Caf

Yanga imewasili salama Dar es  Salaam usiku wa Alhamisi kuamkia Ijumaa kutoka Ethiopia ambako ilifanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika...

“Nimejifunza mambo mengi Commonwealth”-Mkurugenzi wa michezo

Mkuu wa msafara wa wachezaji na viongozi ambao walikwenda Australia kushiriki mashindano ya Jumuia ya Madola ambaye ni Mkurugenzi wa michezo kutoka Wizara ya...

Salamu za pongezi za DRFA kwa Yanga

Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Almas Kasongo amewapongeza mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom, Yanga kwa kufanikiwa...

Hassan Dilunga maisha mapya, matumaini mapya, furaha moyoni

Kiungo wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga amesemaanafurahia maisha ya Manungu ambako ndio makao makuu ya klabu yake ya sasa na kusema anaamini maisha yake...

Yanga yavuna milioni 600 Caf

Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la shirikisho Afrika Yanga leo Aprili 18, 2018 wamefanikiwa kufuzu hatua ya makundi licha ya kufungwa 1-0 na Wolaitta...

TETESI: Wachezaji wa Tanzania wazamia Australia

Baada ya mashindano ya Jumuia ya Madola kumalizika huko nchini Australiakwenye mji wa Gold Coast siku ya Jumapili ambapo Tanzania ilipeleka wanamichezo 16 kushiriki...

Yanga ‘inapasua’ Caf kwa mgongo wa waethiopia

Na Baraka Mbolembole MABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Yanga wanapaswa kucheza kwa nidhamu kubwa ya kujilinda Jumatano hii mjini Awassa, Ethiopia ili kufuzu kwa mara...

Kambale ametaja maana ya jina lake “Tanzania mnafikiri ni samaki”

Jina la mshambuliaji wa Singida United Papy Kambale limepata umaarufu haraka nchini kutokana na maana ya jina hilo hapa Tanzania. Ukitaja ‘Kambale’ moja kwa moja...
471,165FansLike
1,419,248FollowersFollow
65,946FollowersFollow

Instagram