Monday, September 24, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

MAJABVI AKUBALI YAISHE SIMBA

Klabu ya Simba inapenda kuufahamisha umma kuwa mchezaji wake toka Zimbabwe Justice Majabvi ameomba kurejea  kwenye timu baada ya kutafakari upya uamuzi wake wa...

UONGOZI WA SIMBA UMEKUJA NA JIPYA KUHUSU DEWJI KUINUNUA KLABU YAO

Uongozi wa wekundu wa Msimbazi Simba umevunja ukimya juu ya suala la timu hiyo kupewa mtu binafsi ili kuiendesha wakisema hawajapokea barua rasmi kutoka...

NDOLANGA HAJAKUBALINA NA ADHABU WALIOPEWA BLATTER, PLATINI, YEYE ALITAKA WAPEWE ADHABU HII…

Kiongozi mkongwe wa soka la Tanzania pamoja na mdau mkubwa wa mchezo huo Alhaj Muhidin Ndolanga ameibuka na kuweka hadharani maoni yake juu ya...

EL MAAMRY KASEMA MENGI KUHUSU KUFUNGIWA KWA BLATTER NA PLATINI, HIKI NDICHO KILICHO MSHTUA

Mdau mkubwa soka nchini Said el Maamry ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi wa soka ndani na nje ya Tanzania ameeleza namna...

DAUDA TV: HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOKWAMA MBELE YA TOTO AFRICANS

Wekundu wa Msimbazi Simba SC walishindwa kutamba mbele ya wenyeji wao Toto Africans kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kwa kulazimishwa sare ya...

DAUDA TV: ANGALIA MAGOLI YOTE YANGA VS STAND UNITED

Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu Tanzania bara klabu ya Yanga SC December 19 iliichapa Stand United kwa bao 4-0 kwenye mchezo wa...

HII NDIYO SABABU ILIYOMFANYA TAMBWE KU-DEDICATE HAT-TRICK KWA MTOTO WAKE

Mshambuliaji wa Yanga mrundi Amisi Tambwe jana alifanikiwa kufunga magoli matatu (hat-trick) kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara wakati Yanga ikicheza...

NIMEMUELEWA NAPE, HATA JAPAN WAMEFANIKIWA

Na Shaffih Dauda YOKOHAMA, Japan Nianze kwa kuweka wazi kuwa nimemkubali sana Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kwa wazo lake la kufanya...

PICHA: SIMBA ILIVYOVUTWA SHARUBU NA TOTO MWANZA

December 19 timu ya Simba SC ikuwa ikipambana na timu ya Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara...

UNATAKA KUJUA KAMA OKWI ANAREJEA SIMBA AU LA? SIMBA IMEWEKA WAZI JAMBO HILO

Ndani ya siku mbili hizi imekuwa ikitajwa kuwa mchezaji nguli wa kimataifa wa Uganda ambaye aliwahi kutamba na klabu ya Simba SC Emanuel Okwi...

STORY KUBWA