Sunday, September 23, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

KIKOSI CHA STARS KILICHOANZA, TANZANIA IKIKABILIANA NA UGANDA

Line up Taifa Stars vs The Cranes ( Uganda) 1. Ally Mustafa 2.Shomari Kapombe 3.Haji Mngwali 4.Nadir Haroub 5.Kelvin Yondani 6. Mudathir Yahya 8.Frank Domayo 9. John Bocco 10.Rashidi Mandawa 11. Saimoni Msuva   Wanaoanzia benchi 1....

KOCHA BONIFACE MKWASSA KUSAINI MKATABA WA MIAKA 2 LEO.

Baada ya kocha Maart Noiij kufugiwa vilago kutokana na matokeo mabaya, kocha Boniface Mkwassa alipewa majukumu ya kuifundisha timu ya taifa. Kutoka kwenye tweet ya...

Video- Simba hii si mchezo

Wekundu wa Msimbazi Simba wanaendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya mwendelezo wa matokeo mazuri kwenye ligi ikiwa ni...

SIMBA YAUNGURUMA MOROGORO

Wekundu wa Msimbazi Simba wameunguruma Mkoani Morogoro kwa kuitungua timu ya Burkina Faso kwa bao 3-0 kwenye mchezo wa Azam Sports Federation Cup (FA) mchezo...

“Mimi ni kocha wa mpira sio mwalimu wa muziki”-Kocha kuhusu usajili wa Ali Kiba

Kocha wa Coastal Union Juma Mgunda amesema usajili wa star wa BongoFleva Ali Kiba ni mapendekezo yake kwa sababu anamfahamu na anajua anavuocheza. Coastal Union...

MSIBA: Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars amefariki dunia

Godfrey Bonny kiungo wa zamai wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amefariki dunia alfajiri ya leo huko nyumbani...

USHINDI MANUNGU COMPLEX UTAINYANYUA MTIBWA SUGAR, KWA MAYANGA IMEPATA KOCHA SAHIHI KATIKA WAKATI SAHIHI

Na Baraka Mbolembole KOCHA mpya wa Mtibwa Sugar, Salum Mayanga ameanza kazi yake katika timu hiyo aliyoipa ubingwa wa Tusker Cup, 2009 na kombe la...

ALI KIBA NA TIMU YAKE WAONDOLEWA KWENYE DR. MWAKA NDONDO CUP

Michuano ya Dr.Mwaka Sports Xtra Ndondo Cup imeendelea leo tena kwenye uwanja wa Makurumla Magomeni ambapo Friends Ranger ilikuwa ikicheza na Muheza Shooting ya...

MAKUMBA FC, KILUVYA UNITED, NDANI YA 16 BORA YA SPORTS EXTRA NDONDO CUP

Michuano ya Sports Extra Ndondo Cup inayodhaminiwa na Dr. Mwaka, gazeti la Mwanaspoti na Azam Media, leo imeendelea tena kwa michezo miwili iliyopigwa kwenye...

YANGA YAIFUNGA AMBASADOR FC BAO 1-0 MJINI KAHAMA……

Ally Lityawi,KAHAMA KATIKA kujiwinda na pambano la ligi kuu Tanzania Bara mwishoni mwa juma hili dhidi ya Kagera Sugar, Dar es salaam Young...

STORY KUBWA