Wednesday, September 26, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

M Bet yampa maisha kijana kutoka Tsh 1,000 hadi Tsh 284,433,150

  Tsh 1000 unaweza kusema ni ngumu sana kuzalisha Tsh 284,433,150. Kwenye mambo ya kwaida inaweza kuwa haiwezekani, lakini kwa kutumua Perfect 12 ya M Bet...

Exclusive: Okwi atua  Msimbazi kuziba pengo la Ajib

Wakati mshambuliaji Ibrahim Ajib akiwa anaelekea Jangwani, klabu ya Simba inaonekana kutokuwa na shida juu ya hilo kwasababu tayari ipo njiani kumvalisha Emannuel Okwi...

Thamani halisi ya kiatu anachovaa Mbwana Samatta

Na Zainabu Rajabu TUMEKUWA tukiona kwa wenzetu barani Ulaya kwa wachezaji wenyewe majina makubwa kama Cristiano Ronaldo, Lionel Messi wakivaa viatu vya mpira venye thamani...

‘Samatta ni mchezaji mwenye ubora wa kucheza EPL’ – Roberto Martinez

Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez amekiri kuwa, mshambuliaji na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta ana-ubora wa kucheza ligi kuu...

Kamati inayojadili kuhusu pointi 3 za Simba imechemsha

Kikao cha kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za wachezaji kimemalizika kikao ambacho kilianza tangu asubuhi ya leo April 18, 2017 kwa kujadili mambo...

Video: Msuva amezungumza kuhusu Niyonzima kuondoka, kuvunja mkataba na tetesi za Ajib kusaini mkataba...

Dauda TV imepiga story na star wa Yanga na Taifa Stars Simon Msuva ambaye amezungumzia mambo kadhaa ambayo wadau wengi wa soka wangependa kujua...

Simba imemkatia rufaa mchezaji wa Kagera Sugar…inataka pointi tatu

Na Zainabu Rajabu Uongozi wa mabingwa wa kihistoria Simba Sc imewasilisha rufaa Kwa Bodi ya ligi shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kudai pointi za mchezo...

Miguu ya Ajib inavyopishana na akili ya Niyonzima

Abdul Dunia Titi la mama ni tamu. Hata likiwa la mbwa. Kiswahili naazimu. Sifayo inayofumbwa. Niimbe ilivyo kubwa. Toka kama chemchem. Titi la mama litamu...

Alichokiandika Mwana FA baada ya Simba kupewa pointi 3

April 13, 2017 kamati ya saa 72 iliipa Simba pointi tatu na magoli matatu baada ya kujiridhisha kwamba, klabu ya Kagera Sugar ilimtumia mlinzi...

Mgomo mwingine Yanga

Na Tima Sikilo NYOTA watano watimu ya Yanga wapo kwenye hati-hati ya kuukosa mchezo wao wa marudiano dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda unaotarajiwa kuchezwa...

STORY KUBWA