Kitaifa

Home Kitaifa Page 2

Rabbin Sanga alivyopokelewa Serengeti Boys

Kijana wetu Rabbin Sanga alivyorejea Bongo na kujiunga moja kwa moja timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 'Serengeti Boys'. Sanga ametoka Uturuki...

Wambura ashikiliwa TAKUKURU

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). "Ni kweli yupo tumemshikilia hapa TAKUKURU Dar...

Goli ambalo Abdi Kassim hatolisahau maisha yake yote

Abdi Kassim 'Babi' ameandika historia ya aina yake kwenye soka la Tanzania. Jina lake litaendelea kudumu kwenye vitabu vya historia vya soka la Bongo. Babi...

Makambo OUT JKT Tanzania vs Yanga

Kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania bara JKT Tanzania vs Yanga kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga, Yanga itamkosa mshambuliaji wake Heritier Makambo ambaye atakuwa...

Kocha Alliance aitolea macho KMC, ampongeza Ndayiragije

Kocha wa Allince FC Malale Hamsini amesema hadi sasa kikosi chake kipo vizuri huku akisema mchezo dhidi ya KMC utakuwa na ushindani zaidi. Malale pia...

Mambo 5 aliyozungumza Ndayiragije, awapa tuzo mashabiki

KMC inawaalika Alliance FC kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo, kocha mkuu wa KMC...

Alichozungumza Mo mbele ya waandishi wa habari

Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji leo amekutana na waandishi wa habari kuzungumza mambo mbalimbali yanayoihusu klabu hiyo ikiwa ni pamoja na mchezo wa ligi...

Ikitokea Rabbin Sanga kafuzu majaribio, taratibu usajili zipoje?

Wadau wengi wa soka wanataka kujua endapo Rabbin Sanga akafuzu majaribio yake kwenye Academy ya Besiktas na wakaridhia kumchukua, taratibu zimekaaje? Kwa sababu kijana ni...

Dar City yamkomalia mchezaji Yanga

Mchezaji Gustapha Saimon Lunkombi ambaye usajili wake umezua utata baada ya kuitumikia Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Singida United,...

Rabbi Sanga aitwa Serengeti Boys

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Ammy Ninje amesema amevutiwa na kiwango kilichooneshwa na nyota wa Ndondo Cup Academy Rabbin Sanga...

Yanga mechi 3 imeambulia pointi 2

Yanga imecheza mechi tatu za ligi kuu bila kupata ushindi, tangu ilipopoteza kwa mara ya kwanza mchezo wa ligi kwa kufungwa 1-0 na Stand...

Unyama wa Rabbin Sanga wapagawisha Uturuki

Kipaji, jitihada na njaa ya mafanikio ndio vitu vinavyomfanya Rabbin Sanga aendelee kuwashangaza walimu wa soka wa kituo cha Besiktas Academy kwa namna anavyobadilika...

Ninja wa Yanga aitwa TFF kusikiliza kesi inayomkabili

Herman Julius kwa niaba ya Katibu Mkuu wa TFF, amemwadikia barua mchezaji wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' akimtaka afike ofisi za TFF kwa ajili...

Singida yaichezea Yanga mchezo mchafu

Ianaelezwa kuna mchezo unafanyika kwenye ishu ya Singida kuwatumia wachezaji na kocha msaidizi ambao hawajalipa faini ambayo ni adhabu waliyopewa na Kamati ya saa...

Yanga, Singida, zapambania pointi mezani

Uongozi wa Singida United umewasilisha malalamiko Bodi ya Ligi kupinga Yanga kumchezesha mshambuliaji wao chipukizi Gustava Simon (aliyevaa jezi namba 30) kwa madai kwamba...

Rabbin Sanga anandoto ya kufanya makubwa Ulaya

Ikiwa ni siku ya nne kwa Rabbin Sanga nchini Uturuki, nyota huyo wa mashindano ya Ndondo Cup Academy anaendelea na majaribio yake kwenye academy...

Rabbin Sanga aonesha vitu adimu Uturuki

Rabbin Sanga anaendelea kuwavuruga vijana wa kituruki kwenye Academy ya Besiktas kutokana na uwezo wake mkubwa wa kupokea mpira na kuachia pasi ambao umekuwa...

“Mourinho amechangia mimi kuumwa”-Ommy Dimpoz

Mkali wa BongoFleva Ommy Dimpoz amerudi bada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu. Amerejea na ngoma kali #NiWewe ambayo anamshukuru Mungu mwa kuendelea...

Sanga wa Ndondo Academy ameanza majaribio Uturuki

Leo Rabbin Sanga ameanza majaribio yake kwenye klabu ya Besiktas ya Uturuki ikiwa ni siku ya kwanza kati ya siku 10 ambazo atafanya majaribio. Sanga...

Vipigo vya Simba kimataifa Shaffih Dauda awajia juu Ma-Pro

Asilimia kubwa ya wachezani wa kigeni wanaokuja kucheza Tanzania viwango vyao vinafanana na wachezaji wetu wazalendo ndio maana sio jambo la kushangaza kuwaona baadhi...
473,621FansLike
169,928FollowersFollow
72,213FollowersFollow