Thursday, April 26, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

Simba, Yanga kukutana Morogoro

Kuelekea mchezo wa watani wa jadi Simba dhidi ya Yanga Jumapili Aprili 29, 2018 tayari Simba ipo mkoani Morogoro kwa ajili ya kambi ya...

Ni Mtibwa au Singida kimataifa 2019

Singida United kwa mara ya kwanza imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la TFF baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi...

Makocha kuhusu wachezaji wa Mbeya City kuzidi uwanjani

Kizaazaa kiliibuka kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga baada ya benchi la ufundi la Yanga kumfuata na kumlalamikia...

Yanga imepoteza pointi mbili Mbeya

Mbeya City ikiwa na wachezaji 10 uwanjani imeilazimisha Yanga sare ya kufungana 1-1 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa Sokoine Mbeya. Mbeya City...

Kocha Mtibwa afunguka ubora wa Dilunga

Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Hassan Dilunga yupo kwenye kiwango cha juu miongoni mwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza eneo la kiungo wa ushambuliaji. Dilunga...

Mbeya City yaigomea Yanga

Uongozi wa Mbeya City kupitia afisa habari klabu hiyo umesema kama klabu haitakubali kufungwa na Yanga kwenye uwanja katika mchezo wa ligi kuu unaotarajiwa...

Mkuu wa Wilaya amtabiria makubwa striker Lipuli

Mshambuliaji wa Lipuli FC Adam Salamba Jumamosi ya Aprili 21, 2018 aliifungia timu yake bao ilipocheza dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Samora Iringa...

Simba macho yote kwa Yanga

Baada ya kubanwa na Lipuli na kujikuta ikiambulia pointi moja mkoani Iringa, sasa mipango ya Simba ni kushinda mechi yao ijayo dhidi ya Yanga...

Ushauri wa Matola “Simba iamke ikitaka kushinda mechi ya Yanga”

Kocha msaidizi wa Lipuli Selemani Matola amesema alikuwa anaiogopa Simba lakini timu hiyo imecheza chini ya kiwango dhidi ya timu yake kuliko mechi zote...

Sababu fainali FA Cup kupelekwa Arusha zatajwa

TFF imetangaza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup itachezwa Juni 2, 2018 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha. Mwaka 2017 mchezo...

STORY KUBWA