Kitaifa

Home Kitaifa

WAZIRI ATEMBELEA MAZOEZI YA TIMU KUIPA MORALI IFANYE KWELI KWENYE MECHI YA KAGAME

Waziriwa wa Utamaduni, Vijana na Michezo wa Sudani Kusini Mh. Stephen Lado Onesimo jana aliitembelea timu ya Malakia FC wakati ikifanya mazoezi kwenye uwanja...

KABURU, SIWAGAWI WACHEZAJI, HII NDIYO SABABU KUBWA YA MIMI KUJIUZULU SIMBA

Na Baraka Mbolembole REJEA kutoka katika makala niliyoandika wiki iliyopita ambayo ilikuwa na kichwa cha habari; ‘ NAFASI YA MAKAMU WA RAIS SIMBA SC HAINA...

AUDIO: Kichuya atwaa tuzo ya mchezaji bora mwezi September 

Shirikisho la soka nchini TFF limemtangaza mshambuliaji wa klabu ya Simba Shiza Kichuya kuwa mchezaji bora wa mwezi September baada ya jopo la wataalamu...

TAARIFA YA MPYA YA MECHI YA YANGA V TP MAZEMBE

Klabu ya Yanga imetoa taarifa mpya kuhusu mabadiliko ya mchezo wao wa kimataifa wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe. Mchezo huo ni...

Tenga: Sifikirii kugombea urais CAF

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Leodegar Tenga, amesema hana mpango wa kujitosa...

HAYA YALIKUWA MANENO YA MWISHO YA FRANCIS CHEKA KABLA YA KWENDA GEREZANI

“BONDIA mahiri wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka mitatu kutokana na kumshambulia aliyekuwa meneja wa baa yake,...

Coastal Union kuhusu mkutano mkuu Mei 17

KUFUATIA vikao vya maridhiano ya Uhakiki wa wanachama wa Klabu ya Coastal Union ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka...

YANGA IMEKUWA TIMU YA KWANZA KUTINGA ROBO FAINALI FA CUP

Timu ya Yanga imekuwa ya kwanza kufuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cu (ASFC) baada ya kuichapa JKT Mlale ya...

STORY KUBWA