Kitaifa

Home Kitaifa

MO AIBUKA NA UJUMBE MZITO BAADA YA SIMBA KUCHAPWA NA RUVU JKT

Uvumilivu umemshinda Mohhamed Dewji baada ya mwendelezo wa matokeo mabovu ya klabu ya Simba ambayo imemaliza ligi kwa kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa Ruvu...

Thamani halisi ya kiatu anachovaa Mbwana Samatta

Na Zainabu Rajabu TUMEKUWA tukiona kwa wenzetu barani Ulaya kwa wachezaji wenyewe majina makubwa kama Cristiano Ronaldo, Lionel Messi wakivaa viatu vya mpira venye thamani...

Kamati inayojadili kuhusu pointi 3 za Simba imechemsha

Kikao cha kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za wachezaji kimemalizika kikao ambacho kilianza tangu asubuhi ya leo April 18, 2017 kwa kujadili mambo...

‘Samatta ni mchezaji mwenye ubora wa kucheza EPL’ – Roberto Martinez

Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez amekiri kuwa, mshambuliaji na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta ana-ubora wa kucheza ligi kuu...

Simba imemkatia rufaa mchezaji wa Kagera Sugar…inataka pointi tatu

Na Zainabu Rajabu Uongozi wa mabingwa wa kihistoria Simba Sc imewasilisha rufaa Kwa Bodi ya ligi shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kudai pointi za mchezo...

Alichokiandika Mwana FA baada ya Simba kupewa pointi 3

April 13, 2017 kamati ya saa 72 iliipa Simba pointi tatu na magoli matatu baada ya kujiridhisha kwamba, klabu ya Kagera Sugar ilimtumia mlinzi...

Rage anavyopinga pointi za mezani

Mwenyekiti wa zamani wa Simba Alhaj Aden Rage ameungana na wadau wengine kupinga matokeo ya mezani kwakua kuna njia nyingi za kuweza kuepuka timu...

Ushindi mwingine wa Serengeti Boys kimataifa

Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' imepata ushindi wa tatu mfululizo tangu iondoke nchini kwenda kuweka kambi...

Mbaraka Yusuph, Singano, Mkude na nyota hawa watano wataipaisha zaidi Yanga…

Na Baraka Mbolembole KABLA ya kuanza 'kutupa macho' sehemu nyingine, kocha George Lwandamina anapaswa kuangalia ni wachezaji gani wanapaswa kusajiliwa tena na Yanga SC miongoni...

Majibu ya Mbaraka Yusuph ndani ya Sports Extra yamewashangaza wengi

Kipindi cha Sports Extra kilichoruka April 5, 2017, kilifanya mahojiano na Mbaraka Yusuph mshambuliaji wa Kagera Sugar na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa...

STORY KUBWA