Kitaifa

Home Kitaifa

TFF imemtangaza mchezaji bora wa VPL mwezi February 2017

Mchezaji wa timu ya Mwadui FC, Hassan Kabunda amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Februari kwa msimu wa 2016/2017. Kabunda...

Kuelekea Simba vs Yanga: Takwimu hizi muhimu zisikupite

Issue inayo-trend kwa sasa kwenye soka la Bongo ni game ya February 25, 2017 Simba vs Yanga mchezo uliobeba historia ya soka la Tanzania. Kuelekea...

Mtazamo wa Shaffih Dauda kuelekea Simba vs Yanga

Zikiwa zimesalia siku 4 kufikia pambano la watani wa jadi Simba vs Yanga, tayari joto la mechi hiyo limeshapanda huku gumzo la mjini likiwa...

Jina ‘Chuji’ limetoka huku…

Inawezekana hata wewe ulikuwa unaamini kuwa jina la Chuji limetoka kwenye ukoo wa mchezaji iwa zamani wa Yanga Athuman Idd ‘Chuji’ au ni jina...

VIDEO: Mzamiru Yassin wa Simba alivyosherekea Birthday yake

Mzamiru Yassin ni mmoja kati ya wachezaji muhimu sana kwa sasa katika kikosi cha timu ya Simba ambapo amekua akiisaidia timu kwa kufunga magoli...

YANGA TUNAISHI KISASA, MATENDO BADO YA KIZAMANI

Na Junior Matukuta, Mbeya Nawasalimu ndugu zangu wote na kwa wale ndugu, jamaa na marafiki zangu Waislam nawapa hongera kwa kuendelea kutimiza moja ya nguzo...

MBEYA CITY YAENDELEA KUULA KWA BINSLUM

Kampuni ya Binslum Tyre ya jijini Dar es Salaam, leo imesaini mkataba wa miaka miwili  wenye thamani ya shilingi milioni 360 kuendelea  kuidhamini klabu...

NAMBA 13 YA KAMUSOKO NI KAMA ILE YA MICHAEL BALLACK?

Na Baraka Mbolembole Mataji 15 tofauti ambayo kiungo wa zamani wa Ujerumani na klabu za Kaiserslauten, Bayer 04 Leverkusen, FC Bayarn Munich na Chelsea, Michael...

ICELAND IWE FUNDISHO KWA TANZANIA

Kwenye dunia ya michezo, miaka ya nyuma ilikuwa ni story kubwa sana kushuhudia mataifa ambayo hayakupewa nafasi au hayakuwa namajina makubwa kwenye tasnia ya...

AVEVA KATOKA HADHARANI KUANIKA SABABU 4 ZILIZOINYIMA SIMBA VPL

Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva leo May 18 amejitokeza mbele ya  waandishi wa habari na kutoa sababu kadhaa ambazo kwa namna moja...

STORY KUBWA