Kitaifa

Home Kitaifa

Shaffih Dauda kuhusu Serengeti Boys kutolewa AFCON U17

Shaffih Dauda amewapongeza wachezaji na benchi la ufundi la Serengeti Boys kwa hatua waliyofika ya kushiriki michuano ya Afrika kwa vijana chini ya umri...

Barua ya Manji kujiuzulu Yanga

Barua iliyosainiwa na Yusuf Manji Mei 22, 2017 inaonesha kwamba Manji ameachia rasmi nasasi ya uenyekiti wa klabu ya Yanga na makamu mwenyetiki wa...

Yanga walivyoipiga bao Simba na kutwaa VPL 2016/17

Yanga wametwaa ubingwa wa VPL 2016/2017 si kwa kubahatisha bali ni kwa mipango na kujituma kwa wachezaji tofauti na watu wanavyodhani kwamba mabingwa hao...

Tshabalala mchezahi bora Mei

Mchezaji wa timu ya Simba SC, Mohamed Hussein amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Mei kwa msimu wa 2016/2017. Hussein aliwashinda wachezaji Haruna Niyonzima...

Barua ya Simba kwenda FIFA ni anguko lao jingine, watashindwa…

Na Baraka Mbolembole INAWEZEKANA ni kweli mlinzi wa kati wa Kagera Sugar FC, Mohamed Fakhi alicheza mchezo wa Kagera 2-1 Simba SC akiwa na kadi...

Malinzi kamaliza utata tuzo ya mfungaji bora VPL 2016/17

Rais wa TFF Jamal Malinzi kupitia ukurasa wake rasmi wa twetter amesema, Simon Msuva (Yanga) na Abdulrahman Musa (Ruvu Shooting) watapata zawadi sawa ya...

Vipigo vya ‘heavy weight’ VPL 2016/2017

Ligi kuu Tanzania bara imemalizika weekend iliyopita na Yanga kutwaa taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo huku likiwa ni taji lao la 27...

Mavugo amezungumzia kuhusu msimu wake wa kwanza VPL

Na Zainabu Rajabu STRAIKA wa Simba, Laudit Mavugo raia wa Burundi, amefunguka kuwa alipanga kufanya mambo makubwa ndani ya timu hiyo kwa msimu wake wa...

Matokeo ya Serengeti Boys yamewahuzunisha watanzania

Serengeti Boys imeyaaga mashindano ya AFCON U17 huko Gabon baada ya kufungwa bao 1-0 na timu ya taifa ya vijana ya Niger kwenye mechi...

TFF imeongeza tuzo za VPL

SHEREHE za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inatarajiwa kufanyika Mei 24 mwaka huu ukumbi wa Mlimani City Dar es...

STORY KUBWA