Tuesday, September 25, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

KUMBE TOTTENHAM WALIMPOTEZEA REECE OXFORD KABLA HAJAENDA WESTHAM

Dogo mwenye miaka 16 na siku 236 amekua mchezaji mdogo kuwai kuichezea West Ham baada ya kucheza mechi dhidi ya Arsenal. Chaguo la mchezaji...

Hizi ni highlights za mechi ya kwanza ya FIFA Club World Cup kati ya...

Leo imefanyika mechi ya kwanza kati ya Sanfrecce Hiroshima vs Auckland City ambapo club ya Sanfrecce imetoka na ushind wa magoli 2-0. Baada ya...

HII INAWAHUSU WALE WA MANCHESTER UNITED

Uhamisho wa Pedro kutoka klabu ya FC Barcelona kwenda Manchester United uliripotiwa kukamilika na walitakiwa kumalizana kila kitu wikiendi iliyomalizika jana. Kwa mujibu wa Gazeti...

YALIYOJIRI KATIKA MCHEZO WA NYOTA (ALL STAR) WA WNBA (LIGI YA KIKAPU YA...

Na Nicasius Nicholaus Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Wakati ligi nyingi zikiwa katika mapumziko za michezo mbalimbali, pacha wa ligi kuu ya kikapu nchini Marekani...

HIGHLIGHTS ZA MAREKANI WAKIINYUKA UHOLANZI 4-3 KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA

ILIKUWA mechi kali ya kirafiki jana usiku kati ya Uholanzi na Marekani kwenye uwanja wa Amsterdam Arena. Uholanzi walionekana kama watashinda mechi kwani mpaka...

UNAJUA KAMA RIHANA ALIKUWEPO KUMSHUHUDIA IBRAHIMOVIC AKIWEKA REKODI MPYA PSG?

Siku moja baada ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 34, Zlatan Ibrahimovic mekuwa mfungaji wa muda wote wa klabu ya Paris Saint-Germain...

AC Milan yamtimua Filippo Inzaghi

Klabu ya  Ac Milan imethibitisha kumtimua  kocha wake, Filippo Inzaghi baada ya kuwa na msimu mbaya katika ligi ya Serie A na nafasi yake...

STURRIDGE AIONGOZA LIVERPOOL KUIBUKA NA USHINDI

Vijana wa Brendan Rodgers leo wamemlinda kocha wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa katika muendelezo wa michezo...

HII NI STORI MPYA KUHUSU COMEDIAN ALIYEMRUSHIA BUNDA LA DOLA SEPP BLATTER

Msanii wa Comed, Simon Brodkin ambaye alimrushia bunda la dola, Rais wa FIFA, Sepp Blatter amefichua kwamba zile fedha zilikuwa dola 600 na zilikuwa...

Schweinsteiger kuuzwa akitaka

Mabingwa wa kihistoria nchini Ujerumani, Bayern Munich watakuwa tayari kumuuza kiungo wao mwenye uzoefu mkubwa na nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani,  Bastian...

STORY KUBWA