Saturday, September 22, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

BOCCO, CANAVARO, KAPOMBE WAITWA TAIFA STARS, YONDANI ATEMWA

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa...

ANCELOTTI: OXJENI YA BERNABEU DAWA TOSHA KUWACHAPA BAYERN

CARLO Ancelotti anaamini kuwa hali ya hewa iliyopo Real Madrid kwa sasa inatosha kuwapa ushindi dhidi ya Bayern Munich kesho kutwa (jumanne) kwenye nusu...

NAPOLI, SABELLA `WAPANIKI` KUUMIA KWA HIGUAIN

KLABU ya Napoli imekumbwa na wasiwasi mkubwa baada ya kuumia kwa Gonzalo Higuain katika mechi yao na Inter Milan hapo jana uwanja wa San...

MHOLANZI VAN GAAL AMBAKISHA RVP MAN UNITED

HALI shwari sasa!. Mshambuliaji wa Manchester United, Mholanzi, Robin Van Persie ameamua kuendelea kukaa katika klabu hiyo kufuatia kufukuzwa kwa David Moyes. Kilichomvutia zaidi nyota...

RONALDO AIONYA BAYERN, APIGA 2 REAL AKISHINDA 4-0, RAMOS ANENA….

MABAO mawili ya mwanasoka bora wa dunia, Mreno, Cristiano Ronaldo katika ushindi wa 4-0 wa Real Madrid dhidi ya Osasuna usiku wa jana, yamemfanya...

BWANA MKUBWA GIGSS ALIVYOANZA KAZI JANA OLD TRAFFORD

Kipenzi cha mashabiki: Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs akiwapigia makofi mashabiki Uwanja wa Old Trafford baada ya kuiwezesha timu kushinda mabao...

GIGGS AANZA MAMBO MAN UNITED, AILAZA NOWRICH 4-0, ROONEY, MATA WAMPA UKOCHA WA KUDUMU

RYAN Giggs ameanza vizuri kazi yake akiwa meneja wa muda wa Manchester United baada ya kuilaza Nowrich City mabao 4-0 katika mechi ya ligi...

WACHEZAJI BARCA WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA TITO VILANOVA

WACHEZAJI wa Barcelona wametembelea eneo maalum lililoandaliwa na klabu kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyewahi kuwa kocha mkuu wa timu hiyo,...

WENGER BADO YUPO YUPO SANA ASERNAL

ASERNE Wenger amesema bado ataendelea kuwepo Asernal msimu ujao wa ligi kuu nchini England na tayari ameshawaambia viongozi wake kuhusu jambo hilo. Mfaransa huyo hajasaini...

KOCHA BARCELONA TITO VILANOVA AFARIKI DUNIA

TANZIA!. Wakati klabu ya FC Barcelona ikiwa na matatizo ya uwanjani wiki za karibuni, leo hii machungu yameongezea zaidi baada ya kocha wake wa...

STORY KUBWA