Thursday, September 20, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Cristiano Ronaldo anataka kushinda tuzo 7 za dunia na haya ndio matarajio yake katika...

Cristiano Ronaldo alitajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa FiFA kwa mara ya pili mfululizo jana jijini London, na nahodha wa Ureno jana baada...

GERARD AANZA VIZURI LA GALAXY

Hatimaye nahodha wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England, Steven Gerrard ameanza vyema kuichezea timu mpya inayoshiriki Major League...

Wachezaji wa Bayern Munich wavamia chumba cha muamuzi, polisi waingilia

Katika kile kinachoonekana kutoridhishwa na maamuzi ya refa wa mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Bayern Munich Victor Kassai, baadhi ya wachezaji wakiongozwa...

Mpira Utakaotumika kwenye hatua zinazofuata za UEFA Watangazwa.

Kuelekea kuanza kwa mechi za hatua ya mtoano, 16 bora ya klabu bingwa barani Ulaya, kampuni ya Adidas leo Jumatatu imetangaza toleo la mipira...

CHELSEA INAMTAKA MTOTO HUYU ALIYEFUNGA MAGOLI 113 KWENYE MSIMU MMOJA

Story yake inafanana na Micheal Owen ambae alianza kuwa maarufu akiwa mtoto shuleni kwao akipiga magoli ya kutosha hadi akapewa nafasi ya kucheza kwenye...

VIDEO: DR Congo wameitupa Togo nje ya mashindano kwa ushindi wa 3-1

DR Congo wametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika wakiwa wanaongoza Kundi C kwa ushindi uliowatupa nje ya michuano Togo. Mchezaji...

NANI KASEMA HIVI “MESSI PEKE YAKE NDIO NAWEZA KUMRUHUSU KUCHEZA BILA MAELEKEZO YANGU..WENGINE WOTE...

Mwaka huu kila mtu atakua anakimbia uwanjani vile mimi ninavyotaka wakimbie,nitasema jinsi vitu ninavyotaka viende na wanatakiwa kusikiliza. Mchezaji pekee duniani ambae anaweza kucheza...

ROONEY ASAIDIA MASIKINI PESA ZA MECHI YAKE

Zlatan Ibrahimovic amecheza kwa mara ya kwanza kwenye dimba la Old Trafford akiwa kama mchezaji wa Manchester United walipocheza na Everton katika mchezo maalum...

LICHA YA KUFUNGIWA NA FIFA, NYOMI `BAB KUBWA` YAJITOKEZA KUMLAKI SUAREZ, HADI RAIS WA...

Mashabiki wa Luis Suarez wakiwa uwanja wa ndege kumpokea mshambuliaji wao.    MASHABIKI wa Luis Suarez wamefurika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco karibu...

STORY KUBWA