Monday, September 24, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

JOSE MOURINHO AMESEMA HATUPI TENA MEDALI YAKE KWA MASHABIKI

The special one kila asemacho huwa ni habari kubwa, baada ya kuzungumza kuhusu ishu ya Barcelona na Real Madrid wangekua kwenye ligi ya uingereza...

Serbia yapokelewa kishujaa baada ya kuifunga Brazil na kutwaa kombe la dunia

Mwishoni mwa juma lililopita, timu ya Taifa ya Serbia ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 imefanikiwa kutwaa kombe la dunia baada ya...

DI MARIA AISHUHUDIA PSG IKIUA MTU

Winga mpya wa PSG aliyesajiliwa kutoka Manchester United, kwa dau la paundi milioni 44, Muargentina, Angel di Maria aliitazama timu yake akiwa jukwaani na...

MANCHESTER UNITED YAZIPIKU CHELSEA, ARSENAL, LIVERPOOL KWA MISIMU 10 ILIYOPITA….

Akaunti ya Twitter ya Manchester United, @TotallyMUFC  leo ime-post jedwali moja linalovutia ambalo limejumlisha pointi zote za ligi kuu England walizokusanya kwa zaidi ya misimu 10...

Lloris atamani kucheza klabu bingwa, azungumzia nafasi ya De Gea

Mlinda mlango wa timu ya Tottenham Hugo Lloris amesisitiza kuwa, hataki kuongelea kuhusu kuihama klabu hiyo kutokana na kuiheshimu klabu yake lakini amesema anahitaji...

SEPP BLATTER AMEWAJIBU COCA COLA WAKIMTAKA AJIUZULU

Coca Cola ni wadhamini wakubwa sana wa kazi za FIFA hasa kwenye event yao kubwa ya World Cup. Hivyo basi kutokana na skendo zinazoikumba...

MAKAMU WA RAIS FIFA  AKUMBANA NA KIFUNGO…

Aliyekua makamu mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA, na rais wa CONCACAF ndugu Jack Warner amefungiwa na kamati ya maadili ya...

MANCHESTER UNITED YAKWEA KILELENI EPL

Manchester United leo wamekwea kileleni mwa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuining'iniza Sunderland kwa mabao 3-0, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Old Trafford...

KUMBE TOTTENHAM WALIMPOTEZEA REECE OXFORD KABLA HAJAENDA WESTHAM

Dogo mwenye miaka 16 na siku 236 amekua mchezaji mdogo kuwai kuichezea West Ham baada ya kucheza mechi dhidi ya Arsenal. Chaguo la mchezaji...

STORY KUBWA