Friday, September 21, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

FALCAO: SINA WIVU NA MAFANIKIO YA ATLETICO

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Monico, Radamel Falcao amesisitiza kuwa haionee wivu klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid kutokana na mafanikio yake msimu huu. Nyota...

MREFA WACHEKELEA TAIFA STARS KUIVAA MALAWI SOKOINE

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam CHAMA cha soka mkoani Mbeya, MREFA, kimeendelea kujivunia mafanikio ya kuaminiwa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kuziweka...

COSTA: CHELSEA HAWATAPAKI BASI KESHO, WATASHAMBULIA ZAIDI

MSHAMBULIAJI hatari wa Atletico Madrid, Diego Costa anaamini kuwa Chelsea hawatatumia mbinu yao ya kujilinda katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya UEFA...

GWIJI LA SOKA UJERUMANI: SIDHANI KAMA FALSAFA YA GUARDIOLA ITAWAPA BAYERN UBINGWA UEFA

NYOTA wa zamani wa soka la Ujerumani, Stefan Effenberg ameonesha wasiwasi wake kama falsafa ya Pep Guardiola itaisaidia Bayern Munich kutwaa ubingwa wa UEFA...

ADAM NDITI: MOURINHO ANATUFUNDISHA KULINDA, KUCHEZA , KUSHAMBULIA, TUTAWAFUNGA ATLETICO

UNAPOZUNGUMZIA wachezaji wa Kitanzania wenye bahati ya kucheza klabu kubwa duniani, huwezi kuacha kumzungumzia Adam Nditi anayekipiga katika klabu ya Chelsea. Nditi amepata bahati ya...

NDITI WA CHELSEA AILILIA TAIFA STARS, AOMBA SERIKALI IRUHUSU URAIA WA NCHI MBILI

Adam Nditi akimsikiliza kwa makini Jose Mourinho pamoja na De Bruyne na Hazard .......................................................................................................................... MCHEZAJI kinda wa klabu ya Chelsea na raia wa Tanzania, Adam Nditi...

MNUSO WA NAFASI YA NNE WANUKIA KWA ASERNAL, YAILAZA NEWCASTLE 3-0

ASERNAL imezidi kujiweka katika mazingira mazuri ya kuingia timu nne bora za ligi kuu soka nchini England msimu huu na kufuzu kucheza UEFA mwakani...

ANCELOTTI, GAURDIOLA WAOGOPANA KIAINA, ALLIANZ ARENA MOTO KUWAKA

CARLO Ancelotti amesema Real Madrid inahitaji kufunga mabao katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya pili ya UEFA dhidi ya Bayern Munich kesho...

SHABIKI VILLARREAL APIGWA KIFUNGO CHA KUDUMA BAADA YA KUMRUSHIA NDIZI DANI ALVES

KLABU ya Villarreal imempiga marufuku ya kudumu ya kutoingia katika uwanja wake wa El Madrigal shabiki aliyemrushia ndizi beki wa kulia wa FC Barcelona,...

LUIS SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND, HAZARD NAYE HAKAMATIKI

Luis Suarez ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England jana baada ya kufunga mabao 30 msimu huu wa...

STORY KUBWA