Monday, September 24, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Loga: Ubingwa wa KPL uko wazi kwa timu zote msimu huu

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam 'Loga aliwahi kuwa kocha mkuu wa Gor Mahia ya Kenya na Simba ya Tanzania.' Kocha mkuu wa AFC Leopards, Zdravko...

MANCHESTER CITY ITASHINDA MANCHESTER DERBY..AMESEMA LOUIS VAN GAAL

Kama hauamini basi habari ndio hiyo...kocha wa Manchester united Luis Van Gaal ambae kesho timu yake itaingia kwenye mechi kubwa ya kishabiki dhidi ya...

FALCAO atupia mabao mawili kwenye ushindi wa Colombia.

Mshambuliaji wa Manchester Utd Mcolombia Radamel Falcao alifunga mabao mawili kwenye mchezo wa kirafiki kati ya nchi yake dhdi ya Bahrain, https://vine.co/v/O3d7i2hmW3x/embed/simplehttps://platform.vine.co/static/scripts/embed.js Mshambuliaji huyo ambaye kwasasa...

Brad Friedel Kutundika Daluga msimu Huu ukiisha

Friedel , 43, aliingia Uingereza mwaka 1997, kujiunga na majogoo wa jiji, klabu ya Liverpool lakini pia amezichezea Blackburn, Aston Villa na Tottenham Hotspur...

KIBURI CHAMUONDOA VALDEZ MAN UNITED

Hatimaye kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amefumbua kile kilichokua kimejificha baada ya kushuhudia golikipa Victor Valdez akiachwa katika safari ya 'Pre-season' nchini...

WALCOTT NA CAZORLA “WAMELAMBA DUME”

Viungo washambuliaji wa klabu ya arsenal ya jijini London, Theo Walcott na Santiago Cazorla wamesaini mikataba mipya itakayowakikishia kubaki pale Emirates. Theo Walcott ambaye amefunga magoli 76...

HIKI NDICHO NILICHOKIONA BAADA YA KUTEMBELEA HOTEL FOOTBALL BAADA YA MECHI

Mara baada ya mechi kati ya Manchester United Vs Liverpool kama ilivyo ada ya mashabiki mbalimbali wa soka hujisogeza kwenye hotel maarufu pembeni ya...

FABIO CAPELLO UGALI WAMWAGIKA URUSI..

Shirikisho la soka la Urusi limethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na  kocha mkuu wa timu ya Taifa ya nchi hiyo, Fabio Capello   baada...

Pellegrin ajihami mapema

Na Augustino Mabalwe Kuelekea mechi ya ligi ya mabingwa kati ya Manchester City na wacatalunya Barcelona itakayopigwa leo katika uwanja wa Etihad kocha wa Mabingwa...

Angel Di Maria azungumza mwenyewe kuhusu tetesi za kuondoka Manchester United

Angel Di Maria amekanusha tetesi zinazoeleza kuwa yupo katika mpango wa kutimka Manchester United na amesisitiza kuwa atarudi Old Trafford msimu ujao. Nyota huyo wa...

STORY KUBWA