Thursday, September 20, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

MOURINHO ATAFUTA MLANGO WA KUTOKEA BAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA ATLETICO

KOCHA wa Chelsea, Mreno, Jose Mourinho amelaumu kuwa majeruhi katika kikosi chake na uchovu kwa wachezaji imekuwa sababu ya kupoteze mechi dhidi ya Atletico...

KAULI YA COSTA KUHUSU KUJIUNGA NA CHELSEA MAJIRA YA JOTO HII HAPA

MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Diego Costa, ameitandika Chelsea bila huruma na kuisaidia klabu yake kufuzu fainali licha ya kuwepo kwa tetesi kuwa atajiunga na...

MOURINHO ACHARAZWA 3-1, FAINALI UEFA NI REAL MADRID V ATLETICO MADRID

KWA mara ya kwanza dunia itashuhudia fainali ya kwanza ya UEFA mei 24 mwaka huu mjini Lisbon, Ureno, itayozikutanisha timu mbili zinazotoka mji mmoja...

WALCOTT: KUSHINDA FA KUTATUPA `MZUKA` ZAIDI WA MAKOMBE

WINGA hatari wa Asernal, Theo Walcott anaamini kushinda taji la FA itakuwa kichocheo cha kushinda mataji mengi misimu ijayo. Imepita miaka 9 sasa tangu Arsene...

MOURINHO AWAONESHA JEURI `WAJUAJI` WA MPIRA KULIKO YEYE

ZIKIWA zimebaki saa chache kushuhudia timu itakayoungana na Real Madrid katika mchezo wa fainali ya UEFA mei 24 mjini Lisbon nchini Ureno kati ya...

KAULI YA GUARDIOLA BAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA REAL MADRID

PEP Guardiola ameeleza kuwa kiwango walichoonesha Bayern Munich ni kikubwa mno japokuwa walifungwa mabao 4-0 na Real Madrid katika mchezo wa nusu fainali ya...

BAYERN WAVULIWA UBINGWA UEFA, WALIMWA 5-0 NA REAL MADRID, BALE ASEMA….

BAYERN Munich wamevuliwa ubingwa wa UEFA kwa kipigo cha mbwa mwizi baada ya kufungwa mabao 5-0 na Real Madrid katika mechi mbili za nusu...

MIAKA 10 YA MATUMIZI YA £830MILLION KUUSAKA UBINGWA WA 10 ULAYA

Tangu mwaka 2002 wakati Zinedine Zidane alipofunga moja ya magoli mazuri kabisa katika historia ya Champions League na kuiwezesha Real Madrid kutwaa wa ulaya...

LIGI YA MABINGWA MIKOA KUANZA KUTIMUA VUMBI MEI 10

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2013/2014 itakayochezwa kwa mkondo mmoja inaanza kutimua vumbi Mei 10 mwaka...

CECH, TERRY, ETO`O, HAZARD WAIPASHIA ATLETICO MADRID KESHO

Inashangaza: Petr Cech akitembea na Nathan Ake (katikati) na Marco van Ginkel kuelekea katika mazoezi. JOSE Mourinho ameanza maandaliza ya mechi ya kesho ya nusu...

STORY KUBWA