Sunday, September 23, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

ANCELOTTI KUWATUMIA CASILLAS, LOPEZ KWA WAKATI MMOJA, FAINALI UEFA CASILLAS MZIGONI

CARLO Ancelotti amesema ataendelea kuwatumia walinda mlango wake wote, Iker Casillas na Diego Lopez katika mechi zilizosalia za ligi kuu soka nchini Hispania, La...

FIFA WAPIGA CHINI OMBI LA FERNANDO KUTAKA KUICHEZEA URENO KOMBE LA DUNIA

SHIRIKISHO la soka duniani FIFA, limetupilia mbali maombi ya kiungo wa Porto, Mbrazil, Fernando kutaka kuichezea timu ya taifa ya Ureno katika fainali za...

UEFA YANUKIA KWA ATLETIC BILBAO, YAITANDIKA RAYO VALLECANO 3-0 LA LIGA

KLABU ya Atletic Bilbao amefufua matumaini ya kucheza ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Rayo...

MOURINHO AJIBU JEURI YA EDEN HAZARD, ASEMA ASILIMIA 100 HAJITOLEI KUISADIA CHELSEA

 Bosi wa  Chelsea  Jose Mourinho anaamini  Eden Hazard hayuko tayari kujitolea kwa ajili ya timu.  Jose Mourinho amejibu mapigo kwa winga wake Eden Hazard aliyekosoa...

MARTINEZ ATAKA SHERIA YA MIKATABA YA MKOPO KWA WACHEZAJI IREKEBISHWE

KOCHA wa Everton, Roberto Martinez ameomba sheria ya wachezaji wa mkopo ifanyiwe marekebisho na kuwaruhusu kucheza dhidi ya klabu walizotoka. Martinez ameweza kuwatumia vizuri wachezaji...

NEYMAR: MIMI NA MESSI NI MASWAHIBA WAKUBWA, HATUNA UGOMVI WOWOTE

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Mbrazil, Neymar, amesema anafurahia mahusiano yake mazuri na mchezaji mwenzeka wa klabu hiyo, Lionel Messi. Bosi wa Barca, Gerardo Martino Tata ameshindwa...

ZLATAN ATANGAZA KUMALIZIA SOKA LAKE PSG

ZLATAN Ibrahimovic ametangaza kumalizia soka lake katika klabu yake ya Paris Saint-Germain. Nyota huyo mwenye miaka 32 kwa sasa alijiunga na PSG majira ya kiangazi...

DECO: BARCELONA KUSHUKA KIWANGO KAWAIDA TU

NYOTA wa zamani wa Barcelona, Deco, amesema kushuka kwa kiwango cha klabu hiyo kama klabu bora ya kihistoria duniani ilitarajiwa. Vijana wa Gerardo Martino hawako...

BAYERN MUNICH NDIO KLABU BORA KULIKO ZOTE SAYARI HII- JURGEN KLOPP

KOCHA wa Borrusia Dortmund, Jurgen Klopp amesisitiza kuwa Bayern Munich bado ni klabu bora kuliko zote duniani licha ya kutupwa nje hatua ya nusu...

MARTINEZ: HATUWEZI KUWAZAWADIA USHINDI MAN CITY ILI KUWANYIMA LIVERPOOL UBINGWA

KOCHA wa Everton, Roberto Martinez amekanusha taarifa kuwa klabu yake ina mpango wa kuwaachia Manchester City katika mchezo wao wa jamamosi wiki hii ili...

STORY KUBWA