Thursday, September 20, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

UFARANSA, USWISI MWENDO MDUNDO HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

 TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia kama washindi wa kwanza wa kundi E baada ya usiku huu...

EDIN DZEKO APIGA MOJA LA KUONDOKEA KOMBE LA DUNIA BOSNIA IKISHINDA 3-1 DHIDI...

 Ngome imevunjwa: Edin Dzeko alikaa kimya baada ya kuifungia bao la kuongoza   Bosnia na Herzegovina.   MSHAMBULIAJI wa Manchester City aliye kwenye moto, Edin Dzeko ameaga...

NIGERIA YACHAPWA 3-2 NA ARGENTINA, LAKINI YAFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Nyota: Lionel Messi (juu) aliifungia mabao mawili Argentina dhidi ya Nigeria.   TIMU ya Taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles imefanikiwa kufuzu hatua ya 16...

‘ NYAVU’ ZINATIKISWA ‘ HASWA’ BRAZUCA 2014

Na Baraka Mbolembole Siku ambayo Ujerumani ‘ National Eleven’ ilikuwa ikicheza mchezo wake wa 100 wa fainali za kombe la dunia dhidi ya Ureno, historia...

LUIS SUAREZ MCHEZAJI BORA ALIYEKOSA UBINADAMU…

Na Baraka Mbolembole Falsafa ya utilitarianism inasema kuwa njia bora katika maisha ni kutafuta kuridhisha watu wengine kadri iwezekanavyo na kupima vitendo vya watu watu...

HII NI REKODI YA KOCHA WA YANGA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa zamani Ernie Brandts aliyewahi kuwa kocha wa Yanga anashikilia rekodi ya tofauti sana kwenye mechi za kombe la dunia. Huyu jamaa ni...

EPISODE 10 YA DAUDA IN BRAZIL : HII NDIYO HALI ILIVYOKUWA SIKU AMBAYO MABINGWA...

Watu wanaamini Hispania kuna soka zuri na tamu kuliangalia lakini mpira magoli, hii imewashangaza wengi siku ambayo Hispania walitolewa kwenye mashindano mapema sana. Lakini kawaida...

CAMEROON 1 v 4 BRAZIL: NEYMAR APIGA MBILI NA KUFUZU HATUA YA 16

Nyota: Neymar alifunga magoli mawili dhidi ya  Cameroon katika mchezo wa mwisho wa kundi A. TIMU ya Taifa ya Brazil imefuzu hatua ya 16 ya...

MEXICO YAITANDIKA CROATIA 3-1 NA KUFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa Mexico, Rafael Marquez , wa pili kulia, akiifungia timu yake bao la kuongoza. TIMU ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kufuzu hatua ya 16...

UHOLANZI WASHINDA MECHI YA TATU KWA KUICHAPA CHILE 2-0 KOMBE LA DUNIA

LOUIS van Gaal ameiongoza Uholanzi kupata ushindi wa asilimia 100 katika kundi B  baada ya  Leroy Fer na Memphis Depay wakitokea benchi kufunga mabao...

STORY KUBWA