Tuesday, September 25, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

DAUDA IN BRAZIL EPISODE 19: HUKU SIO SIKA TU, WATU WANAJIACHIA KUANZIA BEACH HADI...

Ukiwa Brazil sio soka tu linaendela bali hata starehe ndio penyewe. Huku kuna ufukwe maarufu kabisa duniani unaitwa Copacabana na ujaza watu wengi ukizngatia...

DAUDA IN BRAZIL EPISODE 18 : MAHOJIANO NA MASHABIKI WA ARGENTINA BAADA YA USHINDI,...

Haya yalikuwa mazungumzo yangu na mashabiki wa Argentina baada ya ushindi wao na kuingia nusu fainali. Swali ni kwamba kwenye mechi ya leo kati...

HIZI NI PICHA ZA 5 KUTOKA UWANJANI BAADA YA GOLI LA TANO KUFUNGWA

Hata kabla ya magoli mengine kuingia lilipofika goli la tano tu hali haikuwa nzuri kwa mashabiki wa Brazil. Wengine walianza kulia na wengi wao...

HAYA NDIO MANENO ALIYOTAMKA LUIZ FELIPE SCOLARI BAADA YA KUFUNGWA 7-1 NA UJERUMANI

Luiz Felipe Scolari, kocha wa Brazil "Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu...

MIROSLAV KLOSE AVUNJA REKODI NA KUWA MFALME WA MABAO KOMBE LA DUNIA, AMTINDUA GWIJI...

Mvunja rekodi: Miroslav Klose ni mfungaji bora katika historia ya kombe la dunia. Miroslav Klose amevunja rekodi ya Ronaldo na kuwa mfungaji mwenye mabao mengi...

BRAZIL WAWEKA BONGE LA REKODI…HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU KOMBE LA DUNIA KUANZA 1930, YATANDIKWA NYUMBANI...

Ujerumani wameipiga Brazil kipigo cha mbwa mwizi. Na Baraka Mpenja KWA Muda mrefu wananchi wa Brazil waliandamana wakipinga nchi yao kuandaa fainali za kombe la dunia...

SAA CHACHE KABLA YA MECHI YA BRAZIL VS UJERUMANI, HONIGSTEIN `ANACHATI` NA GWIJI WA...

Oliver Bierhoff, wa pili kutoka kushoto,  aliifungia bao la kwanza timu yake katika fainali za Euro za mwaka 1996 kati ya Ujerumani na Jamhuri...

ALFREDO DI STEFANO: 1926-2014, KIPAJI CHAKE KILIKUWA CHA AJABU, LAKINI HAKUCHEZA KOMBE LA DUNIA

Alfredo Di Stefano hakuwahi kucheza fainali za dunia katika maisha yake ya ajabu ya soka Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Mtandao GWIJI wa Real Madrid,...

NJE YA SOKA, BRAZIL IMEJAA VIVUTIO

 Na Shaffih Dauda, Brazil  Nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia inaanza kutimua vumbi lake usiku wa leo kwa timu wenyeji wa michuano, Brazil...

NUSU FAINALI TANO ZA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA YA KOMBE LA DUNIA HIZI HAPA

Na Shaffih Dauda, Brazil NUSU fainali ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil inaanza kesho. Hapa ni nusu fainali tano zilizochezwa na kuacha historia...

STORY KUBWA