Friday, August 17, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

LUKE SHAW ASAINI MIAKA MINNE OLD TRAFFORD

Luke Shaw amekamilisha dili la usajili la paundi milioni 31.5 katika klabu ya Manchester United BEKI wa kushoto wa England, Luke Shaw amekamilisha usajili katika...

GIORGIO CHIELLINI: ADHABU ALIYOPEWA LUIS SUAREZ NI KUBWA MNO, NAMUONEA HURUMA

Tabasamu kubwa: Giorgio Chiellini ameumia na adhabu aliyopewa Suarez kwa kung`ata yeye. BEKI wa Italia, Giorgio Chiellini amefunguka kutokana na adhabu aliyopewa  Luis Suarez kwa...

LICHA YA KUFUNGIWA NA FIFA, NYOMI `BAB KUBWA` YAJITOKEZA KUMLAKI SUAREZ, HADI RAIS WA...

Mashabiki wa Luis Suarez wakiwa uwanja wa ndege kumpokea mshambuliaji wao.    MASHABIKI wa Luis Suarez wamefurika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco karibu...

RATIBA HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA: NIGERIA, ALGERIA ZAANGUKIA KWA MIAMBA YA ULAYA

 Kitu nyavuni: Mshambuliaji wa Algeria, Islam Slimani akiruka juu na kupiga mpira uliozama golini HATUA ya Makundi ya kombe la dunia linaloendelea kushika kasi nchini...

LUKE SHAW KUTUA MAN UNITED LEO NA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MITANO

Kitu kinatua Old Trafford: Luke Shaw anatarajiwa kuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na  Man United kwa dau la paundi milioni 30m leo ijumaa.  Katua: Ander...

OBAMA ASHUHUDIA MAREKANI IKIFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA AKIWA KWENYE NDEGE YAKE

  Akiwa angani: Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake. RAIS wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe...

PICHA 12 KUTOKA UWANJANI KWENYE MECHI YA GHANA VS PORTUGAL

Kama kawaida tumehudhuria mechi ya Ghana vs Portugal na mchezo umeisha kwa magoli 2 kwa 1 ambapo Ureno wameshinda. Hizi ni picha nilizofanikiwa kuzipata...

SHABIKI WA ARGENTINA AING’ANG’ANIA JEZI YA TANZANIA

Hii ilitokea kwenye mechi ya Nigeria Vs Argentina ambapo shabiki mmoja wa Argentina aling'ang'ania jezi ya Tanzania ilikuwa imevaliwa na mdau Hatibu Mwingi "Bustar"....

EPISODE 11 & 12 DAUDA IN BRAZIL MASHABIKI KUTOKA KILA PANDE YA DUNIA WAPO...

Dauda in Brazil inaendelea na Episode 11 na 12. Kwenye hizi Episode utaona mahijiano ya mashabiki waliosafiri kutoka USA hadi Brazil kuangalia Brazuca na...

PICHA ZA BRAZIL PART 5 : PICHA KUTOKA KWENYE MECHI YA JANA NA MECHI...

Hapa kuna picha za mechi ya jana ya Ufaransa na picha nyingine. Baadhi ya watu utakaowaona humu ndani kuna watanzania wanaoishi Marekani Florida wamekuja...

STORY KUBWA