Thursday, July 19, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

PICHA ZA BRAZIL PART 4 : BENDERA ZA TANZANIA ZIPO ZA KUTOSHA KWENYE KILA...

Japokuwa hatupo kwenye kombe la dunia lakini soka bado tunalipenda, kuna watanzania wachache uwanjani lakini tunajitahidi kuwakilisha ipasavyo. Bendera,skafu,jezi zetu full rangi za bendera...

PICHA ZA BRAZIL PART 3 : MSHINDI WA BRAZUKA ALIVYOCHEKI MECHI YAKE YA KWANZA

Lile shindano la Brazuka kumtafuta mshindi wa kuja kuangalia mechi za kombe la dunia limempata mshindi ambaye ni bwana Dotto Madali mwenye T shirt...

PICHA ZA BRAZIL PART 2 : UWANJANI NA NJE YA UWANJA SIKU YA MECHI...

Rangi za timu husika ndio huwa zinasambaa siku ya mechi husika. Kama unavyoona hizo rangi ilikuwa ni kati ya Holland vs Chile.

PICHA ZA BRAZIL PART 1 : HII ILIKUWA KWENYE MECHI YA ENGLAND VS COSTA...

Hizi ni picha nilizopiga na watanzania ambao tupo huku Brazil kuangalia mechi za kombe la dunia. Hapo juu mimi,katikati ni Chief Financial Contoller wa...

UFARANSA, USWISI MWENDO MDUNDO HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

 TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia kama washindi wa kwanza wa kundi E baada ya usiku huu...

EDIN DZEKO APIGA MOJA LA KUONDOKEA KOMBE LA DUNIA BOSNIA IKISHINDA 3-1 DHIDI...

 Ngome imevunjwa: Edin Dzeko alikaa kimya baada ya kuifungia bao la kuongoza   Bosnia na Herzegovina.   MSHAMBULIAJI wa Manchester City aliye kwenye moto, Edin Dzeko ameaga...

NIGERIA YACHAPWA 3-2 NA ARGENTINA, LAKINI YAFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Nyota: Lionel Messi (juu) aliifungia mabao mawili Argentina dhidi ya Nigeria.   TIMU ya Taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles imefanikiwa kufuzu hatua ya 16...

‘ NYAVU’ ZINATIKISWA ‘ HASWA’ BRAZUCA 2014

Na Baraka Mbolembole Siku ambayo Ujerumani ‘ National Eleven’ ilikuwa ikicheza mchezo wake wa 100 wa fainali za kombe la dunia dhidi ya Ureno, historia...

LUIS SUAREZ MCHEZAJI BORA ALIYEKOSA UBINADAMU…

Na Baraka Mbolembole Falsafa ya utilitarianism inasema kuwa njia bora katika maisha ni kutafuta kuridhisha watu wengine kadri iwezekanavyo na kupima vitendo vya watu watu...

HII NI REKODI YA KOCHA WA YANGA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa zamani Ernie Brandts aliyewahi kuwa kocha wa Yanga anashikilia rekodi ya tofauti sana kwenye mechi za kombe la dunia. Huyu jamaa ni...

STORY KUBWA