Thursday, June 21, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

PICHA ZA NDANI YA UWANJA KWENYE MECHI YA FRANCE VS GERMAN

Moja ya mechi iliamua nani atacheza nusu fainali ilikuwa ni kati ya France Vs German kwenye uwanja wa Maracana jijini Rio De Janeiro. Baada...

GIGGS AWA DAKTARI WA SAYANSI…HESHIMA YAKO MKONGWE!

Heshima: Gwiji wa Manchester United akipozi katika picha baada ya kupata digrii yake kwenye ukumbi wa  Victoria Hall mjini Bolton. GWIJI wa Manchester United, amezawadia...

NEYMAR KUIKOSOA UJERUMANI NUSU FAINALI, AKIMBIZWA HOSPITALI, SCOLARI ATHIBITISHA!

Neymar alitolewa nje kwa machela na amekimbizwa hospitalini baada ya kumalizika kwa mechi ya robo fainali ya Brazil ambayo wamepata ushindi wa mabao 2-1.   NYOTA...

UNAYAKUMBUKA YA MARADONA NA GENTILE MWAKA 1982?, IKIWA IMEPITA MIAKA 32, FERNANDINHO VS RODRIGUEZ...

Mpira uko wapi? Fernandinho akimfanyia kitu mbaya  James Rodriguez kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo mjini Fortaleza. KATIKA fainali za mwaka 1982 njia pekee...

BRAZIL WAICHACHAFYA COLOMBIA 2-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI, LAKINI `MBUNGI` WALIYOPIGIWA NI HATARI!

Beki wa Brazil,  David Luiz aliachia shuti kali la mpira wa adhabu na kufunga bao la pili na la ushindi. ULIKUWA usiku mkubwa kwa Wabrazil...

UCHAMBUZI WA MECHI: UJERUMANI YATINGA NUSU FAINALI YA 14

Na Baraka Mbolembole Ufaransa ilipiga mashuti mara saba katika kipindi cha kwanza lakini hawakufanikiwa kufunga bao lolote. Kikosi cha kocha Didier Deschamps kimetupwa nje ya...

UJERUMANI MWENDO MDUNDO, YAITANDIKA UFARANSA 1-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

UJERUMANI imekuwa nchi ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali katika fainali za mwaka 2014 mwaka huu nchini Brazil baada ya kuibuka na ushindi...

RON VLAAR AWAONYA UHOLANZI: COSTA RICA HAITAKUWA MECHI RAHISI HATA KIDOGO

RON Vlaar amepotezea usemi kuwa mechi ya kesho jumamosi ya robo fainali ya kombe la dunia dhidi ya Costa Rica haitakuwa mechi rahisi kwa...

JOSE PEKERMAN: BRAZIL WATAKUWA KWENYE KIWANGO CHAO CHA JUU

  KOCHA wa Colombia, Jose Pekerman anatarajia kuwaona Brazil wakiwa katika kiwango chao bora kuelekea  katika mchezo wa robo fainali ya kombe la dunia utakaopigwa...

HISPANIA ,ARGENTINA ZAMTAKA DIEGO SIMEONE BAADA YA KUTISHA LA LIGA..JE, ATAONDOKA ATLETICO MADRID?

Diego Simeone anaweza kuondoka Atletico Madrid majira ya kiangazi mwaka huu, huku akiwavutia watu wengi. DIEGO Simeone ndiye kocha aliye kwenye moto kwasasa na anaongoza...

STORY KUBWA