Monday, May 28, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

LUIZ FELIPE SCOLARI ANA `ROHO YA PAKA`, HII NDIO KAULI YAKE BAADA YA KUCHAPWA...

LUIZ Felipe Scolari amesema hatajiuzulu katika nafasi yake ya ukocha wa timu ya taifa ya Brazil, licha ya timu yake kufungwa mara ya pili...

UTABIRI KOMBE LA DUNIA 2014: ARGENTINA ITAIPIGA 3-1 UJERUMANI, AMESEMA DAVID BECKHAM

Amejitahidi: Lionel Messi ameisaidia Argentina  kufika fainali dhidi ya Ujerumani. NAHODHA wa zamani wa England, David Beckham anatabiri kumuona Lionel Messi akifanya maajabu katika fainali...

BRAZIL WATANDIKWA 3-0 KAMA WAMESIMAMA VILE, UHOLANZI MSHINDI WA TATU KOMBE LA DUNIA...

LUIZ Felipe Scolari mambo yamemdodea kabisa baada ya usiku huu kuchapwa mabao 3-0 na Uholanzi. Ushindi wa Uholanzi ni zawadi kubwa kwa Louis Van Gaal...

HUU NDIO UWANJA WA MARACANA

Mchezo wa fainali za kombe la dunia mwaka 2014 kati ya Ujerumani na Argentina utapigwa majira ya saa nne usiku wa Jumapili katika uwanja...

 UCHAMBUZI WA MECHI YA FAINALI KATI YA UJERUMANI NA ARGENTINA

Na Baraka Mbolembole Ujerumani imeifunga Argentina mara tatu katika michezo sita iliyopita ambayo timu hizo mbili zimewahi kukutana katika fainali za kombe la dunia katika...

ETI HAWA NDIO WANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA `MZEE WA WIKI` LUIZ FELIPE SCOLARI

KOCHA wa Sao Paulo inayocheza ligi kuu ya Brazil, Muricy Ramalho amesema Pep Guardiola na Jose Mourinho wanafaa kuwa warithi wa Luiz Felipe Scolari...

IMEFIKA WAKATI WA MESSI KUUNGANA NA MARADONA KATIKA ORODHA YA MAGWIJI WA DUNIA

Bado mabishano ya kuwalinganisha yataendelea bila kujali nini kitatokea kesho jumapili, vinginevyo Messi anamaliza maisha yake ya soka kwa kutwaa kombe la dunia, hapo...

RODGERS ASEMA LIVERPOOL ITATISHA MSIMU UJAO BILA SUAREZ

Karudi kazini: Kocha wa Liverpool  Brendan Rodgers alipigwa picha akiwa katika mazoezi yake ya kwanza ya maandilizi ya msimu siku ya jumatatu. Brendan Rodgers amefunguka...

 FIFA IMETUMIA DOLA 576 MILLIONI KWA ZAWADI TU KATIKA BRAZUCA

Na Baraka Mbolembole  Michuano ya kombe la dunia nchini Brazil inatarajia kufikia tamati, Jumapili hii kwa mchezo wa fainali kati ya miamba miwili ya Amerika...

THOMAS MULLER AMPIGA DONGO LIONEL MESSI KUELEKEA MECHI YA FAINALI

MSHAMBULIAJI wa Ujerumani, Thomas Muller amesema kamwe hajawahi kufungwa na timu ambayo ndani yake yupo Lionel Messi na atapenda kuendeleza hilo wakati watakapokutana na...

STORY KUBWA