Friday, June 22, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

PEPE REINA ATUA BAYERN MUNICH, KUSAINI MKATABA LEO

Mambo dole: Pepe Reina amekamilisha vipimo vya afya  Bayern Munic. PEPE Reina anasaini mkataba wa kuitumia klabu ya Bayern Munich leo ijumaa baada ya kufuzu...

JAMES WILSON WA MAN UNITED AITANDIKA PEKE YAKE MANCHESTER CITY 4-1 NA KUBEBA ‘NDOO’

+10 Bingwa: James Wilson akiwa amebeba kombe la 'Manchester Senior Cup' baada ya kuingoza United kushinda mabao 4-1 dhidi ya Cit. KINDA wa Manchester United,James Wilson...

MAN CITY KUMSAINISHA SERGIO AGUERO MIAKA MITANO ZAIDI

Manchester City wanamtaka Sergio Aguero asaini mkataba mpya kabla ya kuanza msimu mpya. MANCHESTER City wanatumaini kuwa Sergio Aguero atasaini mkataba mpya utakaomfanya alipwe paundi...

REAL MADRID WAIFANYIA’ UMAFIA’ LIVERPOOL USAJILI WA RADAMEL FALCAO

Nyota anayewidnwa: Mshambuliaji wa Monaco, Radamel Falcao (kushoto) anawindwa na klabu za Real Madrid na Liverpool majira haya ya kiangazi. REAL Madrid wamepewa nafasi kubwa...

GARETH BALE KAJAZIA KIFUA SAFARI HII USIPIME, HEBU MCHEKI HAPA…

Nguvu: Bale akipasha moto misuli  Muonekano mpya: Bale amejazia kinoma tofauti na msimu uliopita na yupo tayari kwa ajili ya mechi ya fainali ya Super...

WENGER ATHIBITISHA MAN UNITED KUITAKA SAINI YA THOMAS VERMAELEN ILI KUIPIGA CHINI BARCELONA

Yupo njiani? Beki wa Arsenal, Thomas Vermaelen anaweza kujiunga na Barcelona. WAWAKILISHI wa Barcelona wapo mjini Londo kufanya mazungumzao ya kujaribu kumsajili Thomas Vermaelen kutoka Asernal...

RUFANI YA ‘NG’ATANG’ATA’ LUIS SUAREZ KUSIKILIZWA KESHO CAS

MWANASHERIA wa Luis Suarez anajiamini kuwa adhabu ya kifungo cha miezi minne cha mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez itapunguzwa na mahakama ya juu ya...

KIPAZA SAUTI CHAMCHOMOA PHIL NEVILLE MANCHESTER UNITED

Kazi ngumu: Neville alitambulishwa rasmi kufanya kazi ya uchambuzi kwenye TV wakati wa kombe la dunia majira ya kiangazi mwaka huu nchini Brazil. PHILI Neville...

CHUPA 2,000 ZA DAWA YA KUPULIZIA ZAAGIZWA KWA AJILI YA MAREFA WA LIGI KUU...

Mpya: Msimu ujao Ligi kuu nchini England imethibitisha matumizi ya dawa hii ya kupulizia. BAADA ya kuthibitisha matumizi ya dawa maalumu ya kupulizia, ile inayokauka...

KIPA MKALI WA CHILE CLAUDIO BRAVO AANZA KWA MAJANGA BARCELONA IKITANDIKWA 1-0 NA NAPOLI

Kosa: Blerim Dzemaili shuti lake lilipita mikononi mwa kipa Claudio Bravo jana usiku. KOSA binafsi la kipa wa Barcelona, Claudio Bravo katika mechi yake ya...

STORY KUBWA