Thursday, September 20, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

KWANINI PETER CROUCH NDIYE MCHEZAJI MKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI?

Ronaldo?Messi?  Mpeni mtu huyu tuzo ya Ballon D'Or Uzuri wa takwimu ni kwamba: ni ngumu kupingana nazo. Maoni yanaweza kuchekwa. Namba haziwezi kuchekwa. Utasema nini kama...

ORODHA YA MWISHO: MESSI, RONALDO, NEUER KUCHUANA TUZO MWANASOKA BORA WA DUNIA LEO

ORODHA ya mwisho ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mwanasoka bora wa dunia FIFA Ballon d'Or inayofanyika leo jumatatu mjini Zurich, Uswizi, wametangazwa ambao...

MAN UNITED YACHAPWA OLD TRAFFORD, ARSENAL YAUA 3-0

MANCHESTER United imeangukia pua ikiwa katika dimba lake la Old Trafford baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Southampton. FT Manchester United 0 - 1 Southampton half-time: (0...

FC BARCELONA VS ATLETICO MADRID; ‘ NI UFUNDI DHIDI YA MBINU, ENLIQUE & SIMEONE….

Na baraka Mbolembole, Atletico Madrid ilitwaa ubingwa wa La Liga, Mei 17, 2014 baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na FC Barcelona katika...

OSCAR AIONGOZA CHELSEA KUSHINDA, CITY YASHIKWA NA EVERTON, LIVERPOOL YAINYOA SUNDERLAND

Klabu inayonolewa na mreno, Jose Mourinho Chelsea imefanikiwa kutanua wigo wa pointi kileleni kufuatia ushindi wa bao 2-0 nyumbani dhidi ya Newcastle, huku wapinzani...

MAN UNITED KIBARUANI OLD TRAFFORD

Ratiba ya leo ligi kuu England, EPL hii hapa.... England - Premier League 16:30 Arsenal ? - ? Stoke City 19:00 Manchester United ? - ? Southampton

KILA MTU AMEPATA CHAKE…KAZI INAENDELEA

HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI ZA EPL JANA  England - Premier LeagueJanuary 10 FT Sunderland 0 - 1 Liverpool FT Burnley 2 - 1 Queens Park Rangers FT Chelsea 2 - 0 Newcastle United FT Everton 1 - 1 Manchester City FT Leicester...

MAN U YATENGA PAUNI MILIONI 150 KUMNG’OA BALE REAL MADRID

Manchester United imeripotiwa imepiga hatua nyingine katika mbio zake za kumnyakua winga Gareth Bale baada ya Real Madrid kuonekana kukubali ofa yao kwa mchezaji...

ARSENAL YAANZA MAKEKE YA USAJILI

Klabu ya arsenal tayari imeanza mazungumzo rasmi ya kumuwania Kiungo wa Borussia Dortmund, Ilkay Gundogan huku kiasi ya Pauni 16M zikitajwa kuhitajika katika usajili...

STORY KUBWA