Saturday, September 22, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

MOROCCO YAIJIA JUU CAF, YAPINGA KUFUNGIWA AFCON 2 ZIJAZO

Bertha Lumala na mitandao Morocco imepinga kufungiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kugoma kuwa mwenyeji wa Fainali za 2015 za Kombe la...

Haya Ndio Matokeo Ya Chelsea Na Everton

  Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Chelsea leo ilisafiri mpaka jijini Liverpool kwenda kucheza na vijana wa Roberto Martinez – Everton. Mchezo huo...

Didier Drogba atoa support hii nyumbani kwao Ivory Coast

Tumewaona mastaa wakitoa support ya vitu mbalimbali kwenye jamiiv zao, mfano ikitokea dharura au tatizo fulani hata hapa Bongo tunawaona wakijitolea kusaidia. Mshambuliaji staa wa...

Zaidi ya watu 200 wahofiwa kufariki kwenye ajali hii ya majini

Hii ni ajali kubwa ya kwanza kutokea kwa mwaka 2015 ikihusisha vyombo vya majini kupata ajali na kuua watu wengi ambapo zaidi ya wahamiaji...

VITA YA UBINGWA LA LIGA; BARCELONA WANA NAFASI BAADA YA ATLETICO KUILIPUA REAL MADRID

Mtandao wa ESPN umeainisha namna ambavyo bosi Diego Simeone na klabu yake ya Atletico Madrid wanavyoweza kuipiku madrid kwa mara nyingine katika mbio za...

Mastaa watatu wa soka wanaoongoza kuwa na followers zaidi ya milioni 10 kwenye Instagram…

Mitandao ya kijamii ni moja ya njia ya mkato kwa mashabiki kuwafikia mastaa wao, mfano tumeona kwenye Instagram mastaa wakiweka picha, fans wao wanaweka...

Hiki Ndicho kipimo rahisi zaidi kugundua kansa ya mapafu…

Ugonjwa wa kansa ni moja ya magonjwa ambayo yanaongoza kwa kusababisha vifo nchi za Ulaya, kwa upande wa Tanzania imeonekana tatizo kuwa kubwa pia katika...

Haya ni manufaa ya kula nanasi kila siku…

Moja kati ya matunda ambayo yanapendwa zaidi ni tunda la nanasi, linapendwa zaidi kutokana na ladha nzuri na tamu ambayo inatokana na sukari iliyoko ndani...

STORY KUBWA