Thursday, February 22, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

NAMNA SAHIHI YA KUMTUMIA ANDER HERRERA KATIKA KIKOSI CHA MAN UNITED

By Aidan Charlie Seif Manchester United bado hawajacheza mechi hata moja wakiwa na kikosi kizima kwenye ligi kuu ya England msimu huu na hilo linawagharimu,...

MAN UNITED WALIIZIDI OFA YA MADRID KUMSAJILI BALE

Manchester United walikuwa tayari kumfanya Gareth Bale mchezaji ghali zaidi duniani lakini winga huyo alipiga chini wazo hilo na kuamua kutimiza ndoto yake ya...

EQUATORIAL GUINEA KUWA MWENYEJI WA ORANGE AFCON 2015

Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo leo amekutana na RAIS wa CAF Issa Hayatou na kukubaliana nchi hiyo ya Equatorial Guinea kuwa...

LIGI KUU YA ENGLAND YAONGOZA KWA KULIPA MISHAHARA MIKUBWA ULIMWENGUNI

KUU YA ENGLAND YAONGOZA KWA KULIPA MISHAHARA MIKUBWA....

FRANZ A BECKENBAUER MTAWALA WA SOKA ndani na nje ya UWANJA…

Franz Anton Beckenbauer; alizaliwa tarehe 11 September mwaka 1945 ni kiongozi kwenye soka la Ujerumani , mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya...

KENYA YAFUATA NYAYO ZA TANZANIA. YATOSWA KUANDAA AFCON 2017

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Kenya imefuata nyayo za Tanzania baada ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kuitosa katika mbio za kuwania uenyeji...

BAADA YA KUPATA HASARA YA MIAKA 10 – HATIMAYE MAUZO YA MATA NA LUIZ...

Baada ya kupata hasara kwa takribani miaka 10, hatimaye klabu ya Chelsea inatarajia kutangaza faida ya £20m kwa mwaka wa fedha wa 2013/14. Faida...

CRISTIANO AKANUSHA KUMTUSI MESSI – AJIANDAA KUMSHATAKI MWANDISHI

Mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo jana kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook alikanusha madai ya kumtukana mpinzani wake Lionel Messi na akisisitiza kwamba...

CAF YAIENGUA MOROCCO AFCON 2015

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Timu ya Taifa ya Morocco imeondolewa katika michuano ya Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2015, kutokana na maamuzi...

RONALDO AKABIDHIWA TUZO YA DI STEFANO KWA MARA YA TATU MFULULIZO

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo jumatatu hii alitwaa tuzo ya mfungaji bora wa ligi kuu ya Hispania tuzo hiyo ya Heshima inajulikana kama...

STORY KUBWA