Tuesday, June 19, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Messi ndiye mwanasoka tajiri duniani kwasasa

Jarida la soka la nchini Ufaransa limetoa orodha ya wanasoka na makocha wenye utajili mkubwa kwasasa ulimwenguni,orodha hiyo kwa upande wa wanasoka inaongozwa na...

Pele: Neymar ni mwanangu, Sina Shaka na Messi

Na Amplifaya Amplifaya Unapata maana ya kwamba Pele anatambua kile au ni kipi unataka kumuuliza hata kabla haujaanza kubuni maneno. Labda ni kitu asili chenye muingiliano...

Hatimaye Rodriguez arejea mazoezini

Na Augustino Mabalwe,Dar es salaam Baada ya kukaa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha, hatimaye kiungo mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid James Rodriguez arejea...

Javier Teabs: Cristiano Ronaldo anaweza akaadhibiwa kutokana na aina ya ushangiliai alioufanya El Classico

Na Amplifaya Amplifaya Rais wa ligi kuu ya soka nchini Hispania maarufu kama La Liga amesema kuwa Cristiano Ronaldo naweza akapata adhabu ya ukosefu wa...

Pele: Messi ni zaidi ya Ronaldo

Na Amplifaya Amplifaya Aliyekuwa mchezaji wa timu ya Taifa ya Brazil Legend Pele ametamka bayana kwamba Messi ni bora kuliko Ronaldo na bora zaidi duniani. Mchezaji...

Wanasoka wasio wazawa kupunguzwa England

Na Amplifaya Amplifaya Shirikisho la kanda kanda nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya watakaosajiliwa...

Sturridge nje England

Na Augustino  Mabalwe,Dar es salaam Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England Daniel Sturridge ametolewa katika kikosi cha timu ya taifa...

Diego Costa nje Hispania

Na Augustino Mabalwe,Dar es salaam Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Hispania Diego Costa ametolewa katika kikosi cha timu ya taifa...

Robben atakosekana uwanjani kwa muda wa wiki kadhaa

Na Augustino Mabalwe,Dar es salaam Kiungo wa klabu ya Bayern Munich Arjen Robben atakosekana uwanjani kwa muda wa wiki kadhaa baada ya kuumia hapo jana...

Giroud aipaisha Arsenal EPL ugenini

MABAO mawili ya Olivier Giroud, dakika ya 24', 28' yametosha kuipa Arsenal ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Newcastle United kwenye mechi ya...

STORY KUBWA