Tuesday, September 18, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Taarifa kuelekea mchezo wa Ufaransa Vs Ujerumani

Lloris ataukosa mchezo wa leo na nafasi yake kuchukuliwa  na kipa wa Montpellier Benjamin Lecomte. Golikipa wa tatu wa PSG Areola, anatarajia kuanza mchezo wa...

Griezman awatolea “povu” FIFA na anaamini anastahili kushinda Ballon D’or

Kumekuwa na maneno mengi sana baada ya mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya nchini Ufaransa Antoine Griezman kutukuwepo kwenye...

Barcelona wanavyotumia mbinu walizomnasia Coutinho kumpata Pogba

Ndani ya wiki moja tayari nyota wawili wa Barcelona wamemzungumzia kiungo wa Manchester United Paul Pogba pasipo hata kutarajia. Alianza Gerrard Pique ambaye mwishoni mwa...

VAR kufanyiwa majaribio EPL

Huku na kule na huku na kule, vuuup VAR inahitajika England. Unakumbuka lile sakata wa kombe la dunia na VAR zao? Wengine wakasema inaboa,...

Goli la ugenini ni tamu kama chakula cha jirani.

Wakati tukisubiri uamuzi kutoka Uefa, wa kuondoa sheria ya goli la ugenini, acha nitoe mtazamo wangu. Kuna mambo mawili yanayonishawishi ili goli la ugenini...

Manchester United wataja kikosi chao cha Champions League, majina ya Rashford na Darmian hayapo

Klabu ya soka ya Manchester United imetangaza jeshi lao kamili ambalo linakwenda kupambana katika michuano mikubwa barani Ulaya ya Champions League. Katika majina ya ambao...

Perreira amgomea Lukaku

Lukaku ameshindwa kumshawishi kinda wa Man United Pereira kuchezea timu ya taifa ya Belgium na hatimaye ameamua kwenda Brazil Andreas Pereira alisema mshambuliaji wa Manchester...

Mourinho afungwa mwaka mmoja

Meneja wa Man United Jose Mourinho amefanya makubaliano na mamlaka ya kodi nchini humo kuhusu sakata lake la ukwepaji kodi. Mamlaka hiyo imemhukumu kifungo...

Ronaldo kwa hili ameonesha kiburi na dharau za kitoto

Modric, Ronaldo, Salah hawa tena kwenye tuzo za Fifa. Watu wanaguna kwanini Griezmann na Mbappe hawapo! Swali linakuja kwanini hawapo? Nadhani mchezaji bora wa Ufaransa...

Rodger Federer “OUT” Us Open, Djokovick aendelea kupeta

Katika hali isiyotarajiwa, mshindi mara 20 wa Grand Slam kutoka Uswisi Rodger Federer amejikuta nje ya michuano ya Us Open abaada ya kuondolewa na...

STORY KUBWA