Kimataifa

Home Kimataifa Page 4

NEW YORK KNICKS YAIFUMUA MILWAUKEE BUCKS

Derrick Williams alifunga pointi 24 na kinda  mwenye umri wa miaka 20, Kristaps Porzingis alikuwa 16 katika mechi yake ya kwanza ya NBA ,...

LVG KOCHA NYUNDO ANAYEAMINI KILA MCHEZAJI NI MSUMALI NA MBINU ZAKE ZA KIMIUJIZA

Na David Wambura Ulimuona Van Gaal na mbinu zake dhidi ya Spurs? Umewahi muona Juan Mata mchezaji ambaye kutokana na kukosa kwake uwezo wa kusaidia...

Mourinho anataka Manchester ivunje kibubu kumsajili Neymar

Kutoka kwenye ripoti ya Daily Record ni kwamba kocha wa United ameweka macho kwa Neymar ambae anaonekana anataka sana kutoka nje ya Hispania sasa...

WACHEZAJI WA TP MAZEMBE WAJITOSA KUGOMBEA UBUNGE

Wachezaji wawili wa TP Mazembe wameungana na kocha wao Pamphile Mihayo kugombea nafasi za ubunge kupitia chama cha upinzani. Nchi ya DRC inategemea kufanya...

United kutafuta ushindi wa 6 mfululizo kwa West Brom hii leo

Steve Wilson kocha wa West Brom amewaonya wachezaji wake kuhusu aina ya timu ambayo wanakwenda kuikabili, Wilson amekumbushia wachezaji wake kuhusu kile United walichofanya...

USIJARIBU KUKOSA KUANGALIA COPA AMERICA….HIZI NI SABABU 10 KWANINI USIKOSE.

COPA AMERIKA 2015 MAHALI: MAJIJI 8 YA CHILE TAREHE: 11 JUNI – 04 JULAI Hadi itakapo fika tarehe 4 mwezi Julai, mataifa 10 ya bara...

BAYERN INATAFUTA USHINDI WA 1000 KWENYE MECHI YA KESHO.

Baada ya kufungwa na Arsenal kwenye UEFA, Bayern Munich inatafuta ushindi wa 1000 kwenye mechi walizowai kucheza kwenye ligi ya Bundesliga. Bayern wanategemea kuandika historia...

VIDEO: MREMBO AMWAGA MACHOZI BAADA YA NYOTA HUYU KUSHINDWA KUKANUSHA TETESI ZA KUTUA MANCHESTER...

Hiki kitu sidhani kama unakiona kila siku.... Nyota zao la La Masia Academy ambaye kwasasa ni winga wa Barcelona, Pedro Rodriguez kwasasa anahusishwa sana...

Uingereza wabeba ubingwa wa dunia wa U-20.

Kwa mara ya kwanza kuanzia mwaka 1966 Waingereza wameshinda kombe kubwa la dunia baada ya timu yao ya vijana chini ya miaka 20 kuibuka...

Duuh shabiki huyu wa Arsenal amemchana sana Sanchez

Suala la Sanchez kubaki au kuondoka Arsenal bado ni kizungumkuti kwani hadi sasa mkataba mpya haujasainiwa na wala haieleweki kwamba mazungumzo yanaendelea au laa. Tetesi...

WAKALI WA NYAVU BRAZUCA: NEYMAR Jr, LIONEL MESSI+ THOMAS MULLER = MABAO 12

Na Baraka Mbolembole Neymar Junior alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao manne katika michuano ya mwaka huu ya kombe la dunia nchini Brazil. Kijana...

JIBU LA RONALDO BAADA YA KUULIZWA KAMA ANAFIKIRIA KUTWAA BALLON D’OR

Cristiano Ronaldo aliamua kurejea Madeira mji aliokua, akitokea kwenye mapumziko ya muda katika kipindi hiki cha majira ya joto barani Ulaya. Haikuwa kwa sababu nyingine...

50 Cents amuhusisha Floyd Mayweather na vifo vya watu hawa

50 Cents ameibuka na diss mpya ambayo inaonekana kubwa zaidi, akimuhusisha Mayweather na kifo cha rapa Earl Hayes pamoja na mke wake Stephanie Moseley. Mwaka...

Javi Ribalta: Usajili muhimu waliofanya Man United kuliko wa Pogba 

Wakati wa dirisha la usajili lilopita, Juventus walifanya biashara kuhwa zaidi ya mauzo ya mchezaji katika historia ya soka na bado wakaenda kushinda taji...

ADHABU YA MADRID YAVITESA VILABU VYA ENGLAND

Baada ya klabu ya soka ya Real Madrid kufungiwa na shirikisho la soka duniani FIFA, isisajili kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia majira ya...

NBA YALA DILI LA MAANA, SASA UNAWEZA KUTIZAMA NBA, WNBA, NA SLAM DUNK KIGANJANI...

Chama cha mpira wa kikapu chini marekani (NBA) kimeingia mkataba wa masoko na biashara na kampuni ya mawasiliano chini humo,Verizon.  Hivyo NBA imekubaliana na...

YANGA YAJIFUA KWENYE MVUA KUIKABILI APR

Yanga hawakati tamaa kwa kikwazo chochote na hilo wamethibitisha jioni hii baada ya kufanya mazoezi huku mvua ikinyesha hali iliyowashtua mashabiki wa Rwanda. Kikosi cha...

UNAHAFAMU TOTTI ALILAZIMIKA KUTOA FEDHA KWA POLISI ILI KUMLINDA MTOTO WAKE

Imegundulika kuwa nyota wa klabu ya AS Roma Francesco Totti amekuwa akiwalipa Polisi kwa miaka miwili kuanzia mwaka 2008 na 2010 ili kumlinda mtoto...
471,192FansLike
1,420,891FollowersFollow
65,997FollowersFollow

Instagram