Friday, September 21, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Neymar to PSG: Hivi ndivyo waarabu wanavyoweza kutumia Trillioni 1+ kumsaini

Sakata la usajili wa mchezaji Neymar kwenda Paris Saint Germain linazidi kushika hatamu.Taarifa mpya zinasema mbinu walizotumia FC Barcelona kumpata Neymar wakati akiwa mchezaji...

Kapumzike Ricardo Izecson “Kaka” mcha mungu uliyejaa upako miguuni mwako hakika umewaachia vijana somo...

Miaka ya 2006/2007 kulikuwa na mchezaji mmoja ambaye kila mtu aliamini kwamba mipira ilikuwa ikiisikiliza miguu yake, ilisemekana alikuwa na uwezo wa kuambia mpira...

Herrera kwenda jela miaka 4 na kufungiwa soka miaka 6

Kulikuwa na kesi ambayo ilikuwa ikiihusisha klabu ya zamani ya kiungo wa Manchester United Zaragoza ambapo May mwaka 2011 walihusishwa na kupanga matokeo pamoja...

Manchester United ikichukua wawili tu kati ya hawa itatisha sana

Leo sio mbaya kuzungumzia usajili kwa kuwa ligi zote barani Ulaya zinakaribia kuisha, kila timu kwa sasa imeshaanza mipango ya kusuka upya vikosi vyao...

UCL Final: Kwanini Madrid italipa zaidi ya billion 200 kwa kutwaa Champions League vs...

Yamebaki masaa takribani 48 kabla ya referee wa kijerumani Felix Brynch hajapuliza kipenga cha kuashiria kuanza kuanza kwa mchezo wa fainali ya ligi ya...

Neymar avua jezi ya Barcelona na kuamua kuondoka

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Neymar Dos Santos leo ametawala upya vichwa vya habari  baada ya kuvua jezi ya mazoezi ya Barcelona na kuondoka...

Picha: Mzamiru Yassin ametisha, Stars inaongoza Kundi COSAFA

Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imetoka sare ya 0-0 dhidi ya Angola kwenye mechi ya Kundi A michuano ya COSAFA mchezo uliopigwa...

Angalia hapa Al Masry vs Simba LIVE

Wawakikishi wa Tanzania bara kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika Simba SC eapo nchini Misri kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry. Mchezo...

Tupa kule akina Pogba na Mbape, tazama majembe yaliyostaili zaidi ya €95 ila bahati...

Na Salym Juma, Arusha Dunia ya soka imeelekeza macho kwenye usajili huku Magazeti na Blog mbalimbali ikitawaliwa na tetesi za usajili pamoja na taarifa kamili...

Alichokisema kocha wa PSG baada ya kufanyiwa fedheha Nou Camp

Kocha mkuu wa PSG Unai Emery alichanganyikiwa baada ya mechi ya marejeano dhidi ya Barcelona kwenye uwanja wa Nou Camp kufatia kuchapwa bao 6-1...

STORY KUBWA