Thursday, September 20, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Ufaransa Vs Uholanzi: Huku Depay kule Pogba

Wafaransa leo watawakaribisha wadachi mbele ya mashabiki 81,000 ndani ya Stade de France kule Paris. Mchezo wa kwanza mashindano haya ya Uefa ligi Ufaransa walitoka...

Kane atokwa na povu, Seedorf aponea chupuchupu

Baada ya Englad kufungwa mabao 2 kwa 1 na Hispania katika uwanja wao wa nyumbanj nahodha wa England amemtupia lawama refa wa mchezo huo. Harry...

Rekodi walizoweka Wahispania hapo jana Wembley, na habari mpya kuhusu Luke Shaw

England 1 Hispania 2. Marcus Rashford alitangulia kuifungia Uingereza bao la kwanza dakika ya 11 bao ambalo lilidumu kwa dakika mbili tu baada ya Saul...

Uingereza vs Hispania ndani ya Wembley Usipime!!

Timu ya taifa ya Hispania imesafiri mpaka Wembley kukutana na Waingereza kwenye mchezo wao wa Uefa national league. England na Hispania hawajawahi kukutana kwenye...

MRI ni tiba kwa kansa inayoteketeza soka la Afrika

Udanganyifu wa umri bado ni changamoto kubwa sana kwa soka la Afrika. Hivi majuzi shirikisho la soka la Afrika CAF limekumbana na sakata la ulaghai...

Nina mawazo tofauti na Shaffih Dauda kuhusu sakata la mchezaji bora wa dunia

Sakata la kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa dunia limegeuka kuwa hoja nzito. "Shaffih Dauda anaamini kuwa Leo Messi pamoja na Griezmann walistahili. Kwa mtazamo wangu mimi...

Tuzo za mwezi ligi kuu England hizi hapa

Kocha bora wa mwezi Kocha wa klabu ya Watford, Javi Gracia, ametwaa tuzo ya kocha bora wa Mwezi August, katika ligi kuu England. Mchezaji bora wa...

Matokeo ya michezo mikubwa ya kimataifa iliyopigwa leo

Wales 4-Ireland 1. Gareth Bale alifunga moja ya bao la Wales na kumfanya kuwa nyota wa kwanza kufikisha mabao 30 katika timu hiyo. Mabao mengine...

Mambo makuu ya manne ya kutazama mechi za kimataifa, Messi hayupo, Ronaldo hayupo, Sane...

Makala hii imeandaliwana Jacob Steinberg, Barry Glendenning na Michael Butler wachambuzi wa jarida la the Guardian. 1) Je Sané atamkosoa Löw ? Joachim Löw amewaongeza wachezaji wa...

Ronaldo aitosa Ureno ili kujifua zaidi na Juventus

Cristiano Ronaldo amepatwa na tatizo kwenye jicho lake la kushoto na kuamua kuachana na timu yake ya taifa kwa muda. Mchezaji huyo wa Portugal baada...

STORY KUBWA