Tuesday, September 25, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

RUS 2018: Nani atafuzu au kushika nafasi ya 1/2 Kati ya Ureno na Hispania?

Ronaldo anakutana na Iran. Iran sio tishio sana lakini kombe la dunia mwaka huu ndio tishio hasa. Ronaldo mabao manne kufika sasa. Mabao mengi...

RUS 2018: Hary Kane Moto, James Moto.

Colombia 3-0 Poland James Rodriguez amefunga magoli 6 na kutengeneza mengine manne katika michuano yote ya kombe la dunia. Amezidi kuwa na kiwango murua kabisa....

Kombe la dunia LIVE popote ulipo kutoka Dstv

Huku michuano ya FIFA Kombe la Dunia 2018 ikizidi kupamba moto huko nchini Russia, swali ni moja tu, Je, unafahamu kuwa unaweza kushuhudia mechi zote...

Wakati wakiivaa Croatia hii leo, mama wa Lionel Messi aelezea masikitiko yake

ByKati ya habari kubwa tangu michuano ya kombe la dunia ianze ni tukio la nyota wa Argentina Lionel Messi kukosa tuta katika mchezo wao...

Rekodi usizozijua zilizowekwa Urusi hii leo

Ureno 1 - Morocco 0, Bao pekee la Cristiano Ronaldo dhidi ya Morocco linamfanya kufikisha mabao 85 ya kimataifa, idadi hii inamfanya Cristiano kuwa...

MTAZAMO: Shaffih Dauda kuhusu timu za Afrika kuanza vibaya kombe la dunia 2018

Afrika tunawakilishwa na timu tano kwenye fainali za kombe la dunia, mataifa matatu tayari yamepoteza mechi zao za kwanza huku Misri yenyewe ikipoteza mechi...

Kunani kila mtu Brazil? Hadi Kyombo na Manula nao wapo Brazil!!

Timu ya taifa ya Brazil ndiyo inatajwa kuwa ina mashabiki wengi zaidi duniani katika michuano ya kombe la dunia na katika mashindano ya mwaka...

URUSINI: Taarifa kuhusu majeraha ya Neymar

Mchezaji tegemezi wa Brazil Neymar amepata majeraha mazoezi hivi leo akiwa na timu yake ya taifa wakiajiandaa na mzunguko wa raundi ya pili katika...

URUSINI: Macho yote kwa Salah leo

Kuelekea mechi ya leo jumanne,ya group A kati wenyeji Russia dhidi ya Egypt, katika uwanja wa Krestovsky. Hizi ni taarifa za timu Russia: Wenyeji watakuwepo...

Barua hii ya Romelu Lukaku ikuamshe kijana uliyekata tamaa, pambana, amini inawezekana

Maisha ni safari ndefu sana na njia ya mafanikio ni nyembamba inayopaswa kupambana, kila utakacho kinawezekana ukiweka nia na juhudi, Romelu Lukaku ameandika maisha...

STORY KUBWA