Kimataifa

Home Kimataifa Page 3

WAYNE ROONEY AWAJIBU WANAOIKOSOA MANCHESTER UNITED

Rooney (katikati) alishindwa kuwavumilia wachezaji wenzake baada ya kipigo hicho  WAYNE Rooney amesisitiza bado kuna mwanga kwa Manchester United kufanya vizuri msimu huu,  licha ya...

KOBE AREJEA, LAKERS YAKALISHWA

Ricky Rubio alikuwa na kazi ya juu kwa kufunga pointi nyingi zaidi katika maisha yake. Alifunga  pointi 28 na pasi 14 na Timberwolves ilitoka nyuma...

AZAM YAKOMAA MBELE YA WAARABU CHAMAZI

Azam imeutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani Azam Complex, Chamazi baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa bao 2-1 kwenye mchezo wa kwanza wa raundi...

JUAN MATA SOKONI JANUARI, ARTURO VIDAL, MATS HUMMELS KWENYE RADA, RONALDO NAYE ANAWEZA KURUDI...

Siku zijazo: Manchester United  bado wanaiwinda saini ya  Arturo Vidal (pichani juu) MANCHESTER United bado hawajamaliza matumizi makubwa ya fedha katika dirisha la usajili. Katika dirisha...

PELLEGRINI ATUMIA MAARIFA KUMZUIA GUARDIOLA

Manuel Pellegrini amekiri kwamba Manchester City  inatakiwa kufanya vizuri msimu huu ili kuepusha uwezekano wa Pep Guardiola kuvaa viatu vyake Etihad msimu ujao. Pellegrini ameingia...

Sababu 3 kichapo cha Yanga Kenya

Tumeshuhudia Yanga ikipoteza mechi yake ya pili kati ya tatu ilizocheza kwenye kombe la shirikisho Afrika. Yanga imekubali kichapo cha magoli 4-0 ugenini dhidi...

KIPRE TCHETCHE AAHIDI KURUDI AZAM

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast Kipre Tchetche ameandika ujumbe wa kuwaaga mashabiki wake wa klabu ya Azam FC mara baada ya kukamilisha dili...

RATIBA YA PLAY-OFF UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Ratiba ya ligi play-off ya ligi ya mabingwa Ulaya imeshatoka lakini vilabu vya Manchester City ya England na Celtic ya Scotland vikionekana kupangwa na...

Hivi ndivyo mastaa wa michezo walivyosherekea Christmas.

Kila mtu yupo kwenye mood ya Christmas na anatumia muda kuwa karibu na familia yake kwa ajili ya mapumziko. Hivyo hivyo inakua kwa sports...

Rio Ferdinand: Manchester wamefeli kukosa sign ya huyu mchezaji.

Mchezaji wa zamani wa Manchester united Rio Ferdinand ameonyeshwa hisia zake wazi kwa kuwa huzunishwa jinsi Manchester ilivyokosa saini ya mchezaji mwenye miaka 19...

STAR WA SERIE A AMFUKUZA KAZI AGENT WAKE WA MIAKA 10 NA KUMPA KAZI...

Mchezaji wa Inter Milan Mauro Icardi amemuachisha kazi agent wake ambaye alikua anafanya nae kazi kwa muda wa miaka 10 Abian Moreno na kumpa...

Hamburg washuka daraja kwa mara ya kwanza katika miaka 55

Pamoja na Hamburg kupata ushindi wa mabao 2-1 lakini ushindi waliopata Wolfsburg wa mabao 4-1 dhidi ya Cologne umeifanya timu ya Humburg kushuka daraja ikiwa...

Jose Mourinho ampa makavu Anthony Martial

Inasemekana kwamba Martial hakufurahishwa na kitendo cha namba 9 kupewa Zlatan wakati yeye akiwa anajiandaa kuanzisha logo yake ya Martial 9. Lakini hayo yote...

Man City na Chelsea waepuka adhabu moja lakini hii imewapata

Mchezo kati ya Manchester City na Chelsea uliishi kwa ushindi kwenda upande wa Chelsea. Lakini timu zote mbili zilionyesha utovu wa nidhamu na kusababisha...

ANGALIA MCHORO KATIKA PICHA JINSI MANCHESTER CITY WALIVYOSHINDA 7-0 DHIDI YA SHEFFIELD CAPITAL ONE!

Magoli yalifungwa na Lampard 47, 90, Dzeko 53, 77, Jesús Navas 54,Touré 60, Pozo 88.

Atletico Madrid wamkosesha Sergio Ramos mchezo wa Champions League

Michuano ya Champions League inaendelea tena wiki hii huku tayari timh mbali mbali zimeshatangaza vukosi vyao vitakavyosafiri kwa ajili ya mechi za wiki hii,...

Pamoja na kusaini mkataba, Coutinho anaweza kujiunga ba Barcelona.

Mambo mengine yanakera sana,ila inakera sana unapoambiwa ukweli wa kukatisha tamaa kutoka kwa mtu wako wa karibu.Hiki ndicho anachokifanya Jamie Carragher kwa Liverpool pamoja...

Pamoja na kutofunga, lakini Cr7 aweka rekodi mpya vs Bayern Munich

Hapo jana Real Madrid wameendeleza rekodi yao nzuri katika michuano ya Champions League baada ya kuichapa Bayern Munich kwa mabao 2-1 na kujiweka katika...

NI AIBU! MCHEZAJI WA MAN UNITED AAMUAKUCHEZA GAME YA FIFA KULIKO KUITAZAMA TIMUYAKE

Mchezajiwa Manchester United aliyepo kwa mkopo katika klabuya Hull City Nick Powell amesema aliamua kucheza game la FIFA kuliko kuangalia mechi ya United dhidi...

MARADONA AMCHAPA KIBAO MWANDISHI WA HABARI.

Gwiji la soka ulimwenguni Diego Maradona ameibuka na skendo nyingine nchini Argentina baada ya kumzaba kibao mwandishi mmoja wa habari ambaye inasemekana alimsemea maneneo...
472,500FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,360FollowersFollow

Instagram