Kimataifa

Home Kimataifa Page 3

Picha: Mzamiru Yassin ametisha, Stars inaongoza Kundi COSAFA

Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imetoka sare ya 0-0 dhidi ya Angola kwenye mechi ya Kundi A michuano ya COSAFA mchezo uliopigwa...

Tupa kule akina Pogba na Mbape, tazama majembe yaliyostaili zaidi ya €95 ila bahati...

Na Salym Juma, Arusha Dunia ya soka imeelekeza macho kwenye usajili huku Magazeti na Blog mbalimbali ikitawaliwa na tetesi za usajili pamoja na taarifa kamili...

Alichokisema kocha wa PSG baada ya kufanyiwa fedheha Nou Camp

Kocha mkuu wa PSG Unai Emery alichanganyikiwa baada ya mechi ya marejeano dhidi ya Barcelona kwenye uwanja wa Nou Camp kufatia kuchapwa bao 6-1...

Conte amtaja mchezaji anayewaua Chelsea na kukiri ni tatizo kubwa

Msimu huu wa ligi ya Epl mabingwa watetezi Chelsea wanaonekana kuhangaika kupata matokeo na mbaya ni kwamba hadi sasa wamefungwa na timu ambazo hakuna...

Ukweli kuhusu kikundi cha “Pussy Riot” na kuvuruga fainali ya kombe la dunia

Jana fainali za kombe la dunia zilipigwa, bao la kujifunga la Mario Mandzukic, lingine la Paul Pogba, Antoine Griezman na lile la Kylian Mbappe...

Kwanini Ronaldo anataka kuondoka Madrid, tetesi za Man United haziepukiki

Wiki hii picha ya Cristiano Ronaldo iliyotumika saba kwenye kurasa mbalimbali za vyombo vya habari ni ile inayomuonyesha akiwa kwenye jezi ya timu ya...

Farid Musa ameanza kusumbua Hispania

Mtanzania anaecheza soka la kulipwa nchini Hispania Farid Musa, ameendelea kufanya vizuri kwenye klabu yake ya Tenerife B inayocheza ligi ya vijana. Farid amefunga magoli...

Benchi lenye thamani zaidi duniani kuwahi kutokea.

Manchester United ni timu kubwa sana,unapoambiwa kuhusu ukubwa wa timy kuna mambo mengi sana yakujumuishwa hadi timu iwe kubwa.Historia ya timu na idadi ya...

Kwa mara ya pili katika historia,El Classico kupigwa nje ya Hispania.

Kwa mara ya kwanza nchini Marekani miamba ya Hispania timu za Real Madrid na Barcelona zitakutana. Siku ya Ijumaa jambo hilo limetangazwa kwamba katika...

Tetesi za usajili barani Ulaya, Barcelona wapiga hodi Arsenal

Klabu ya Barcelona inamuona Mesut Ozil kama mrithi wa Andre Iniesta na wanaweza kujaribu kumsajili kwa £53m endapo watashindwa kumsajili Phellipe Coutinho kutoka Liverpool. Kelechi...

Masaa 36 ya vita vya usajili, Di Maria kwenda Barcelona, Mahrez kwenda United?

Bado masaa yasiyozidi 40 ili dirisha la usajili barani Ulaya kufungwa, kila timu inajaribu kupata sahihi ya mtu sahihi kwa ajili ya msimu huu...

Leicester na Man United kuziumiza Liverpool na Arsenal.

Leicester City wamefudhu katika hatua ijayo ya Champions League ambayo ni robo fainali baada ya kuitupa nje Sevilla, hakuna aliyetarajia Leicester wanaweza kufika hapa...

Sulley Muntari akumbana na ubaguzi wa rangi, aamua kutoka uwanjani.

Kati ya ligi zinazoonekana vitendo vya kibaguzi kutawala ni ligi kuu nchini Italia almaarufu kama Serie A, wachezaji wengi sana Wakiafrika wamekuwa wakikutana na...

Arsenal na Chelsea wafanya kitu kilichowashinda Manchester United katika usajili

Usajili nchini Uingereza umefungwa rasmi usiku wa Alhamisi, timu nyingi zilifanya manunuzi makubwa hali iliyopelekea vilabu 14 vya ligi hii kuvunja rekodi yaonya usajili...

Wachezaji ghali zaidi wa kihispaniola – Morata kuandika rekodi mpya ya usajili

Kuelekea kukamilisha usajili wa kujiunga na Manchester United akitokea Real Madrid, Alvaro Morata ataingia kwenye vitabu vya rekodi vya usajili nchini Hispania kwa kuwa...

Kinachoendelea hivi sasa katika siku ya mwisho ya usajili barani Ulaya

Klabu ya Arsenal inasemekana tayari wamekubali ofa kutoka Manchester City kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji Alexis Sanchez kutoka Arsenal, City walituma kiasi cha £60m...

Buffon amtaja mshambuliaji hatari zaidi kuwahi kukutana naye, sio Messi wala Cr7

Golikipa mkongwe wa timu ya taifa ya Italia ambaye pia anaichezea Juventus Gianluigi Buffon anasifika sana kwa kuzuia mashambulizi wa wapinzani na kuokoa michomo...

Tukio alilofanya Abdi Banda ni la kijinga, kitoto na kishamba, akemewe!

Binafsi yangu rafu ya Bossou kwa Singano siioni kama ya makusudi sana, kimo cha Bossou na Singano ni tofauti sana kiasi kwamba Bossou akinyanyua...

Baada ya tetesi nyingi sasa binamu wa Anthony Martial ataja timu atakayochezea mchezaji huyo...

Anthony Martial ni kati ya wachezaji ambao wanapendwa sana na mashabiki wa Manchester United, hata awe katika kiwango gani lakini mashabiki wamekuwa wakimkubali sana. Msimu...

“Kimenuka Chelsea” Conte mbioni kutimuliwa, mrithi wake huyu hapa ameshapatikana

Pamoja na ushindi wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Tottenham Hotspur mwishoni mwa wiki lakini taarifa zinadai Chelsea wako katika mpango wa kumfukuza...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow