Sunday, June 24, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Mkwanja watakaoingiza FIFA kombe la dunia kufanyikia USA, Canada na Mexico

Story zinazohusu kombe la dunia ambazo zili-make headline jana ni Rais wa chama cha soka cha Hispania kumtimua kocha wao wa timu ya Julen...

Mshambuliaji anayetajwa Simba amtabiria Lukaku kutwaa kiatu cha dhahabu

Kombe la dunia hili hapa linaanza huku Ndondo Cup nayo moto unaendelea kuwaka pale Kinesi na Bandari. Hii leo katika uwanja wa Kinesi timu...

Morocco walivyopigwa kikumbo na USA kuandaa kombe la dunia

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye hii leo nchi za Canada, USA na Mexico zimeshinda dhabuni ya kuandaa michuano ya kombe la dunia...

Shaffih Dauda in Russia na unayotakiwa kufahamu kuelekea WC2018

Jana asubuhi baada ya kutoka kwenye mwaliko wa ubalozi wa Tanzania nchini Urusi niliondoka na kuelekea kwenye mji wa St. Petersburg na kwa mara...

Watoto kutoka mataifa mbalimbali wakutanishwa Russia na F4F

Gazprom Football for Friendship 2018 watajumuisha watoto kutoka mataifa 211 kote duniani. Gazprom Football for Friendship Kutoka: MOSCOW 2018 Football for Friendship (F4F)dro hii imefanyika katika jiji...

#RoadToRussia, Nike wajitoa kuivalisha Iran viatu dakika za majeruhi

Macho na masikio ya kila mpenda soka kwa sasa yameelekezwa nchini Urusi ambapo katila siku tatu zijazo michuano mikubwa ya soka duniani ya kombe...

#3DaysToRussia, rekodi 7 muhimu kabla ya kombe la dunia kuanza

1. Moja ya wawakilishi wa bara la Afrika timu ya taifa ya Nigeria watakwenda World Cup kwa mara ya 6, Nigeria wameshakwenda 1994, 1998,...

Barcelona yamrudisha Abidal Camp Nou

Na: DANIEL S.FUTE ALIYEKUWA mchezaji wa zamani wa Barcelona Eric Abidal, anatarajia kuchukua nafasi ya kuwa mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Barcelona kwa msimu...

Kaseke kapata mchongo Sauz

Baada ya tetesi kwamba Deus Kaseke huenda akaungana na kocha Hans van Pluijm pamoja na Tafadzwa Kutinyu kutoka Singida United kujiunga Azam, mkurugenzi wa...

Messi apata vitisho, mchezo wao wapigwa chini

Inasemekana timu ya taifa ya Argentine imefutilia mbali mchezo wao wa kirafiki dhidi ya taifa la Israel. Taifa hilo lilipata ripoti kwamba Lionel Messi...

STORY KUBWA