Saturday, September 22, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Wolfsburg vs Man United: Van Gaal Hajawahi Kupoteza Mechi vs Wolfsburg, United Inatakiwa Kushinda...

VfL Wolfsburg na Manchester United FC zinakutana leo kwenye mechi ya sita ya hatua ya makundi huku timu zote zikitaka matokeo chanya ili kujihakikishia...

WARRIORSS, WARRIORS WARRIORS…. STEPHEN CURRY.. WAMEITEKA NBA, ANATAFUTWA WA KUIKOMBOA.

Katika mechi ya awali kati ya Golden State Warriors dhidi ya Brooklyn mambo hayakuwa shwari na ilikuwa ni moja ya mechi ambazo Warriors walikaribia...

Nani Anaongoza Kufunga Penati Tangu La Liga Ianzishwe – Mess, Ronaldo? Golikipa aliyeokoa michomo...

Umefanyika utafiti wa takwimu za soka katika ligi kuu ya Uhispania - La Liga na shirika la Centre for Research on Spanish Football History and...

Hii Ndio Rekodi ya Barcelona ya Miaka 14 Iliyovunjwa dhidi ya Valencia

Kasi ya klabu ya FC Barcelona jumamosi ya wiki iliyopita ilipigwa 'stop' na Valencia, huku rekodi zao kadhaa zikivunjwa baada ya matokeo ya sare...

Goli Walilofungwa Barca na Valencia Lamuua Shabiki

Habari za kusikitisha zimejiri huko nchini Hispania kufuatia matokeo yasiyotarajiwa ya sare ya 1-1 kati ya FC Barcelona vs Valencia.   Katika mchezo huo Barca walikuwa...

Wayne Rooney katika Kiwango kibovu zaidi Maisha Mwake –  Mbinu za Van Gaal zisivyomsaidia.

Katika kipindi cha maswali na majibu wiki iliyopita na gazeti moja nchini Uingereza - Wayne Rooney aliulizwa ikitokea amepewa nguvu za maajabu angependa kufanya...

UKIMPINGA CURRY UMEUPINGA UKWELI. WARRIORS WANAPITA HATA JUU YA MOTO, WAENDELEA KUWEKA REKODI KALI.

Hesabu kwa vidole vya kiganja chako ni mara ngapi mchezaji kafunga pointi 40 msimu huu katika zaidi ya mara nne. Tizama pia mchezaji yupi...

DAUDA TV: GARY NEVILLE AISHUHUDIA VALENCIA IKIIBANA MBAVU BARCELONA

Mabingwa watetezi wa taji la ligi ya Hispania na Ulaya Barcelona wamelazimihwa sare ya kufungana goli 1-1 na vigogo wengine wa ligi ya Hispania...

Barca vs Valencia: Vita safu bora ya Ushambuliaji dhidi ya Safu bora ya Ulinzi

Kikosi cha Luis  Enrique leo usiku kitasafiri mpaka kwenye dimba la Mestellah kuumana na Valencia ambao katika siku za hivi karibuni wamekuwa na hali...

Tundaman awajibu Messi na Neymar kuhusu Suarez angekuwepo kwenye Ballon D’or

Tundaman kama asingekua msanii wa Bongoflava basi leo hii angekua anacheza soka kwenye club yoyote kwasababu amecheza soka kwa muda mrefu sana. Kwenye timu ya...

STORY KUBWA