Friday, September 21, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

WEWE NI SHABIKI WA MAN U? DI MARIA KAKUANDIKIA BARUA HII…

Baada ya kujiunga na PSG kwa dau la pauni milioni 44, winga wa kimataifa wa Argentina Angel Di Maria amewaandikia barua ya wazi mashabiki...

ROBO FAINALI AFCON KUTIMUA VUMBI KESHO

ROBO fainali ya kombe la Mataifa ya Africa, Afcon 2015 inaendelea kesho nchini Guinea ya Ikweta. Mechi ya kwanza ya robo fainali itapigwa kesho januari...

SADIO MANE HANA MPANGO WA KUHAMIA MANCHESTER UNITED

Ukizungumzia uhamisho kwa Manchester united hivi sasa jina linalotajwa sana Sadio Mane kutoka Southampton. Mchezaji huyu mwenye miaka 23 anapigiwa upatu wa kuhamia Old...

Morata?! mh sawa ni hatari lakini ataweza kuhimili mikiki ya Epl?!

Hii leo jioni klabu za Real Madrid na Chelsea zimeweka wazi kwamba zimefikia makubaliano kuhusu Alvaro Morata na sasa ni wazi kwamba mshambuliaji huyo...

VIDEO: MAAMUZI YA DUNGA JUU YA PHILIPPE COUTINHO WA LIVERPOOL YAWADUWAZA WENGI

Dunga ammtema Philippe Coutinho katika kikosi cha Brazil akidai kwamba nyota huyo wa Liverpool ameshatimiza majukumu yake katika michuano ya Copa America’. Watu wengi...

GIGGS AANZA MAMBO MAN UNITED, AILAZA NOWRICH 4-0, ROONEY, MATA WAMPA UKOCHA WA KUDUMU

RYAN Giggs ameanza vizuri kazi yake akiwa meneja wa muda wa Manchester United baada ya kuilaza Nowrich City mabao 4-0 katika mechi ya ligi...

LICHA YA KUFUNGIWA NA FIFA, NYOMI `BAB KUBWA` YAJITOKEZA KUMLAKI SUAREZ, HADI RAIS WA...

Mashabiki wa Luis Suarez wakiwa uwanja wa ndege kumpokea mshambuliaji wao.    MASHABIKI wa Luis Suarez wamefurika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco karibu...

Sio mapenzi tu, yajue mambo 5 yalioanzishwa na Pep Guardiola kwenye soka

Na Athumani Adam Kiungo wa Manchester City anayecheza kwa mkopo kwenye klabu ya Sevilla ya kule nchini Hispania, Samir Nasri siku mbili zilizopita alitoa siri...

RONALDO AKABIDHIWA TUZO YA DI STEFANO KWA MARA YA TATU MFULULIZO

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo jumatatu hii alitwaa tuzo ya mfungaji bora wa ligi kuu ya Hispania tuzo hiyo ya Heshima inajulikana kama...

STORY KUBWA