Thursday, September 20, 2018

Kimataifa

Home Kimataifa

Kura 100,000 zapigwa kutaka Brcelona na Psg warudiane,refa aliwatukana Psg.

Baada ya ushindi wa Barcelona wa mabao 6 kwa 1 dhidi ya PSG mengi yamezungumzwa.Kumekuwa na mambo mengi yakizungumzwa wengine wakiusifu uwezo wa Barcelona...

Kocha wa Psg atoa maamuzi kuhusu nani wa kupiga penati kati ya Cavanni na...

Katika habari ambayo imegonga sana vichwa vya habari wiki hii baasi ni mvutano kati ya msgambuliaji ghali duniani Neymar Dos Santos na mshambuliaji wa...

Tetesi za mwisho mwisho za usajili barani Ulaya

Bado siku zisizozidi 5 ili dirisha dogo la usajili la mwezi January liweze kufungwa, tayari wapo ambao wameshafanya sajili kubwa na pia wapo wanaokaribia...

Ferguson kurejea United tena kama kocha

Sir Alex Ferguson ndiyo nembo iliyoko nyuma ya mafanikio ya Manchester United, akiinoa United kuanzia mwaka 1986 hadi 2013 aliwapa karibia kila kombe kuanzia...

Hapa ndipo Mario Balotelli atakapocheza msimu ujao.

Baada ya matatizo mengi na kiwango kushuka sana, hatimaye mshambuliaji mtukutu wa klabu ya Nice Mario Balotelli amekuwa na msimu bora sana tangu ajiunge...

Hazard amewatabiria wachezaji hawa watatu kufanya makubwa kuliko Messi na Ronaldo

Mshambuliaji nyota wa Chelsea Eden Hazard anatajwa kama mchezaji bora nyuma ya Messi, Ronaldo na Griezman kutokana na kiwango bora anachoonesha akiwa na Chelsea. Lakini...

Ufafanuzi kuhusu suala la kadi 3 za njano za Erasto Nyoni!

Watu wengi wanajadili kwenye mitandao ya kijamii na ma-grouo ya Whatsapp kama beki wa Simba Erasto Nyoni alicheza mchezo wa jana Machi 2, 2018...

Mawasiliano ya mwisho ya Cheikh Tiote yavuja.

Ulimwengu wa soka umetawaliwa na wingu jeusi siku ya leo baada ya kifo cha kiungo wa zamani wa klabu ya Newcasstle Cheikh Tiote aliyefariki...

DaudaTv: Huyu ndiye mchezaji wa Genk kutoka Holland anayeongea kiswahili.

Kwenye page ya instagram Mbwana Samatta utakua umewai kumuona mshkaji anaongea kiswahili baada ya kufundishwa na Samagoal. Nikiwa hapa Genk Samatta amenikutanisha nae, jamaa ni...

Unajua sababu ya Eboue kutosaidiwa na Wenger wala wachezaji wenzake? Hii hapa

Dunia imeshtushwa sana na habari za kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ivory Coast, wengi wamekuwa wakihoji inakuwaje nyota mkubwa...

STORY KUBWA