Kimataifa

Home Kimataifa Page 2

Chilunda atolewa kwa mkopo Hispania

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Shaabani Idd Chilunda ametolewa kwa mkopo na klabu yake CD Tenerife kwenda Club Deportivo Izarra kwa kifupi CD Izarra...

Historia, mafanikio na kikosi cha AS Vital wapinzani wa Simba leo

AS Vita ni timu iliyopo kwenye viunga vya jiji la Kinshasa nchini DR Congo na imeanzishwa mwaka 1935 ikiwa inaitwa Renaissance lakini baadaye mwaka...

London Derby: Arsenal vs Chelsea

Arsenal Vs Chelsea, mchezo huu utapigwa katika dimba la Fly Emirates, majira ya saa 20:30 usiku. Mara ya kwanza Chelsea 2–1 Arsenal 1907–08 Football League (9 Nov 1907) Mechi...

Kocha wa Yanga AIFUNDA Simba kimataifa

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi ametoa ushauri kwa Simba ambayo ipo Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kucheza dhidi ya AS Vita katika ligi...

Simba imeelekea Congo, Manara katoa neno

Klabu ya Simba imeondoka asubuhi ya leo kwenda jijini Kisnshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya AS Vita...

Kwa heri Petr Cech GLOVES zako zitaendelea kukumbukwa Darajani

Wakati zilipovuja taarifa za golikipa wa Jamhuri ya Czech ambaye alikuwa asajiliwe na klabu ya Manchester United atakwenda Chelsea kwa sababu mtu ambaye alikuwa...

Monaco vs Nice ni vita ya watoto wa Wenger Ufaransa

Kwa wale waliowahi kuiona Arsenal katika ubora wake miaka ya 1996 mpaka 2004 kwenye kikele cha kikosi kikichopachikwa jina la 'The invisible' baada ya...

Asante David De Gea kwa utamu huu!!

Katika ukurasa wake wa tweeter mwanaume mmoja mabaye wengi walidhani ndiye aliyewahi kuvaa gloves bora kwenye kikosi na historia ya Manchester United alikuwa ameweka...

Wazungu na wadau wanasemaje kuhusu tetesi za Samatta

Baada ya vyombo vichache kueneza kuhusu sakata la Samatta kuhusishwa na klabu ya nchini Uingereza Cardiff. Nilipata bahati ya kuchunga mitandaoni hali ipo. Wapo...

Picha nzima kuhusiana na usajili wa Samatta

Cardiff City imekubali kutoa kitita cha £18m straika Emiliano Sala. Salah ni raia wa Argentine anayekipiga kunako klabu ya Nantes ya Ufaransa. Jarida maarufu...

Balotelli anarudi England kutaga au kuwika?

Jinsi akili yake ilivyokuwa makini katika kufunga, alionekana kama angekuwa Andy Shevchenko mpya katika sura nyeusi. Hata katika miguu yake alionekana kuwa na kila...

Sipo upande wa Shaffih wala upande wa Simba

Kumekuwa na kauli moja maarufu sana hapa nchini, "Anataka kututoa kwenye lengo" au "anataka kutuvuruga". Hii kauli hutumiwa zaidi kuzuia watu kuisema Simba iwe...

Okwi anapendwa na mashabiki, Bwalya anapendwa na magoli

Kumwachia Okwi aondoke wakati huu mhh na kutegemea makubwa klabu bingwa ni sawa na kuchoma mahindi na tochi. Sijui mtawaaminisha vipi mashabiki wa Okwi...

Sio Van Djik pekee yake, tusiwe wachoyo

Nimeona mara kadhaa walio wengi wanamsifu sana Van Djik kuwa amekuwa mchezaji wa muhimu zaidi kwenye kikosi cha Liverpool. Bila shaka. Hakuna ubishi kuwa...

Klopp dokta mwenye gundu, anayejaribu kutibu mikosi ya Liver

Liverpool mabingwa wa kufeli. Samahani kwa lugha isiyo rafiki kwao. Mara kadhaa Liverpool wamekuwa na msimu mzuri lakini mzimu wa kushindwa kumaliza mbio salama...

Solskjaer ni chaguo sahihi Man United

Manchester United ilikuwa imeachana na utamaduni wake, tangu Sir Alex Ferguson ameondoka walijaribu walikuwa wanajaribu kupata mtu ambaye atakuja kuindesha na kuijenga United katika...

“Mourinho mmoja sura tofauti”-Shaffih Dauda

Mourinho wa mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mourinho wa Inter na Real Madrid na Mourinho aliyerudi Chelsea kwa mara ya pili na baadaye Manchester...

Yaliyomkuta Mourinho amejitakia mwenyewe

Maisha yanabadilika mazingira mpaka tabia, nchi zimebadili mengi na sasa tabia maisha zimeibuka, kasi ya mabadiliko imekuwa kubwa na hakuna tena anayetaka kuishi kwenye...

Shaffih Dauda, Geoff Lea wapishana kuhusu Pogba wa Mourinho

Ukiachana na Mourinho kupigwa chini mjadala mwingine ulioibuka kitaa ni kwamba kuna wachezaji walikuwa wanamchomesha Mourinho ili atimuliwe, Pogba anatajwa kuwa aliongoza mapambano kuhakikisha...

Mwana FA afanya sherehe Mourinho kutimuliwa Old Trafford

Kama kuna watu waliokuwa wamechoka kumuona Jose Mourinho pale Old Trafford basi Mwana FA ni mmoja wao, jamaa amefurahia kusikia taarifa za kuondoka kwake,...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow