Kimataifa

Home Kimataifa

Lukaku afufua matumaini ya kuja Tanzania

Bado siku chache tu ili ifike tarehe 13 mwezi wa saba ambapo kampunk ya Sports Pesa itawaleta Everton nchini kwa ajili ya kucheza mchezo...

Tetesi za usajili, United wahamia kwa Harry Kane

Klabu ya soka ya Juventus inadaiwa kukubali ofa kutoka kwa Chelsea kwa ajili ya kumnunua Alex Sandro, ripoti zinasema klabu ya Chelsea imetuma dau...

Ureno na Mexico watangulia nusu fainali Confedaration

Leo michuano ya soka ya mabara iliendelea pale nchini Urusi ikishuhudiwa michezo miwili ikipigwa kwa muda mmoja kutafuta timu za kwenda nusu fainali. Wenyeji wa...

HBD Lioneil Messi “La Pulga”,hakika tutasimulia ubora wako vizazi na vizazi

Sijawahi kuona mpira ukitii mguu, lakini hakika mipira inatii miguu ya Lioneil Messi, uwezo wake uwanjani ni wa ajabu sana,jinsi anavyodrible mpira vinashangaza sana...

Mashabiki wa Everton “wamchamba” Lukaku

Wakati klabu ya Everton inajiandaa kuja nchini Tanzania kwa safari iliyodhaminiwa na kampuni ya Sports Pesa, mshambuliaji wa klabu hiyo Romelo Lukaku amejikuta akipokea...

Manchester United na Nemanja Matic bado kidogo tu

Tangu kuondoka kwa Jose Mourinho kiungo Nemanja Matic amekuwa haaminiwi na kocha wa sasa wa Chelsea Antonio Conte kwani hajapewa muda mrefu wa kucheza...

Edin Dzeko anaamini mchezaji huyu ndio bora zaidi kuwahi kucheza naye

Edin Dzeko ni kati ya washambuliaji ambao walionekana wanajua kuzifumua nyavu tangu akiwa na klabu ya Man City kutokana na wepesi wake kucheka na...

Lioneil Messi na baba yake wafanikiwa kuikwepa jela

Almanusra mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Lioneil Messi na baba yake waende jela baada ya kupatikana na hatia katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya ukwepaji...

Mohamed Salah avunja rekodi Liverpool

Jana majogoo wa London klabu ya Liverpool walithibitisha kumsajili winga wa As Roma Mohed Salah ambaye walimtafuta kwa muda sasa kwa dau la euro...

Wanyama na siri ya jezi namba 67 mgongoni

Wachezaji wengi wa hususan soka ukiwauliza kwanini anavaa jezi yenye namba fulani mgongoni atakupa history nyuma ya namba hiyo, wengi wao hawavai kama urembo...

STORY KUBWA