Kimataifa

Home Kimataifa

Picha ya Philippe Coutinho akiingia hospitali kufanya scanning.

Baada ya story za kuhusishwa na kujiunga na Barcelona ku-trend kwa muda sasa story imegeuka. Sasa hivi headline ya Countinho ni kuhusu jeraha alilopata...

Kwa mara ya pili katika historia,El Classico kupigwa nje ya Hispania.

Kwa mara ya kwanza nchini Marekani miamba ya Hispania timu za Real Madrid na Barcelona zitakutana. Siku ya Ijumaa jambo hilo limetangazwa kwamba katika...

DAUDA TV: MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOPIGWA DECEMBER 8

Usiku wa December 8, 2015 ilipigwa michezo ya nane UEFA Champions League kwenye viwanja tofauti ambapo ilishuhudiwa baadhi ya timu zikifanikiwa kutinga katika hatua...

Pogba: Sikua nafatilia mademu ndio maana nimefika hapa

Paul Pogba kwenye mazungumzo yake na kitu cha Sky Sport amezungumza kuhusu maisha yake ya utotoni hadi anafika kuwa mmoja ya wachezaji wa gharama...

Kesi Za Kodi Kuwazuia Messi na Neymar kucheza UEFA, Nchini Uingereza

Nyota wa Barcelona Lionel Messi na Neymar wanaweza kunyimwa nafasi ya kuingia Uingereza iwapo watafuzu kuingia kwenye hatua inayofuata na kufuzu fainali kutokana na...

Jay Z anaifukuzia saini ya Marcus Rashford wa Man United

 Marcus Rashford ni moja ya majina katika wiki za hivi karibuni yamekuwa yakitawala sana midomoni mwa washabiki na waandishi wa habari wa michezo duniani...

NGASA ALICHO-POST INSTAGRAM BAADA YA KUVUNJA MKATABA SOUTH AFRICA

Taarifa za Mrisho Ngasa kuvunja mkataba na klabu yake ya Free State Stars FC ya Afrika Kusini zinazidi kuenea kwa kasi hususan kwenye mitandao...

FA kumtwanga Mourinho adhabu nyingine

Jose Mourinho yuko mbioni kukabiliwa na adhabu nyingine tena kutoka Chama cha Soka England (FA) baada ya hapo awali kuondolewa kwenye benchi katika mchezo...

Barcelona wameondoa jina la Luis Figo kwenye mechi ya magwiji kesho Berlin

FC Barcelona wameliondoa jina la Luis Figo kwenye orodha ya kikosi chao cha magwiji wa klabu hiyo kitakachopepetana na magwiji wa Juventus kesho jumamosi...

GAZZA AFUNGUKA NAMNA WENGER NA ARSENAL WALIVYOMLIPIA £50,000 ZA MATIBABU

Paul Gascoigne Gazza amefunguka kwamba klabu ya Arsenal kwa ujumla ililipa kiasi cha £50,000 ambayo ni zaidi ya millioni 100 ya Kitanzania kwa ajili...

STORY KUBWA