Kimataifa

Home Kimataifa

Jay Z apiga hodi Manchester United

Mwaka 2013 rapa wa Marekani Shawn Carter almaarufu Jay Z alianza kujiingiza katika michezo kupitia lebo yake ya Roc Nations.Jay Z amefanikiwa kusaini baadhi...

Kikosi ghali kuwahi kutokea duniani.

Soka sasa imekuwa ni fedha tu inayotawala,hii inatokana na kwamba mpira ni biashara.Kumekuwa na wachezaji wanaonunuliwa kwa pesa kubwa na kulipwa oesa nyingi,lakini leo...

Fahamu kuhusu Johan Ramirez azawadiwa nyumba.

Johan Ramirez ni kijana mwenye umri wa miaka 15 tu,katika umri wake amefanya jambo la kishujaa sana.Ni miezi mitatu imepita toka ajali ya ndege...

Baada ya kuruhusu goli la mkono la Sanchez..Mark Clatterburg ndio anaondoka Uingereza?

Mark Clattenburg ni kati ya waamuzi bora waliobaki si tu Uingerez bali duniani.Baada ya muamuzi kipara Pierlluig Colliina kustaafu kumekuwa na uhaba wa waamuzi...

Carragher: Mkhitaryan ni mkali zaidi ya Ozil kwenye hili.

Legend wa Liverpool Jamie Carraher ambaye sasa hivi amekua mchambuzi amempigia chapuo Henrikh Mkhitaryan kwamba ana ubora zaidi ya wachezaji Ozil, Silva na Mata. Akizungumzia...

Klopp amjibu Mourinho

Kocha Jose Mourinho amekaririwa akisema sheria zinazotumika dhidi yake ni tofauti na dhidi ya timu nyingine.Mourinho alizungumza hayo baada ya mchezo wao dhidi ya...

Maskini Gabriel Jesus.

Gabriel Jesus limeshaanza kuwa jina linalotajwa sana miongoni mwa mashabiki wa soka.Usajili wa £27m kutoka Palmeiras kwenda Man City umemfanya umaarufu wake uweze kuongezeka.Katika...

Maskini Depay, aboronga tena Ufaransa

Akiwa katika kiwango kibovu kabisa Memphis Depay aliishuhudia timu yake ya Olympique Lyon ikishushiwa kipigo cha goli 2 kwa 0 wikiendi iliyopita.Tayari mashabiki wa...

Wenger kiburi, acha apigwe.

Mwaka 2010 baada ya kombe la dunia ambalo Hispania walichukua,Cesc Fabregas aliulizwa tofauti kati ya timu ya Arsenal na Hispania "Tofauti na Arsenal hapa...

VIDEO: Magoli na rekodi 6 zilizowekwa baada ya ushindi wa Chelsea dhidi ya Arsenal

Arsenal wamechezea kisago kingine kizuri cha magoli 3-1 kutoka kwa Chelsea kwenye game ya Premier League iliyopigwa kwenye uwanja wa Stamford Bridge. Magoli ya Marcos Alonso, Eden...

STORY KUBWA