Kimataifa

Home Kimataifa

Shkamoo Messi

Umri wake unakwenda, kasi yake bado inadai. Huyu jamaa uwezo wake utadhani amekata breki. Anatisha sana huyu kiumbe. Alipoondoka Ronaldo kule La liga wengi walidhani...

Sarri ametuonyesha umuhimu wa kupaki basi

Kuna watu wanamsema sana Mou na mfumo wa kukaba. Sijajua nani kaawaambia huo mfumo haufanyi kazi? Kuna watu wameponzwa na aina ya uchezaji wa timu...

Taarifa kuelekea Chelsea vs Man City

Mchezo wa ligi kuu England kati ya Chelsea dhidi ya Manchester City, mchezo huu ambao ulikuwa unasubiria kwa hamu duniani na mashabiki mbali mbali...

Sarri anaweza kumfunga Pep

Na Robert Komba Masaa machache yajayo, ulimwenguni wa soka utaenda kushuhudia burudani kubwa pale katika uwanja wa Stamford Bridge ambapo Chelsea ya Maurizio Sarri watawakaribisha...

Hivi Sarri hajui kama Kante ni kiungo mkabaji bora duniani?

Na Patrick Admila "Sina elimu kubwa ya soka kumzidi Sarri, lakini kumweka Fabregas kama kiungo mlinzi halafu Kante asimame nyuma ya mshambuliaji kunanifanya niwe na...

Mourinho kupata sare kwake ni ushindi mkubwa

Mchezo kati ya Manchester United, dhidi ya Arsenal, ulikuwa ni mchezo wa kimbinu zaidi kwa timu zote mbili. Mchezo huo uliomalizika kwa mabao 2-2...

EPL inazidi kuongeza kachumbali

Na Robert Komba Mwandishi wa kitabu cha soka “The mixer” kinachoelezea historia na maendeleo ya mbinu za soka katika EPL, Anaitaja ligi hiyo kuwa ni...

Simba kukutana na Hassan Kessy kimataifa

Klabu ya Simba huenda ikakutana na Hassan Kessy hatua ya pili ya klabu bingwa Afrika 2018/19. Simba itakutana na mshindi kati ya Nkana FC...

Ni Manchester United dhidi ya Arsenal

Mchezo wa ligi kuu England, Manchester United, atakuwa nyumbani katika dimba la Old Trafford, kumkaribisha Arsenal, mchezo huu umeibua maswali mengi kutokana na historia...

“Tumeua sisimizi kwa nyundo”-Manara

Baada ya ushindi wa Simba wa magoli 4-0 ugenini dhidi ya Mbabane Swallows kwenye michuano ya vilabi bingwa Afrika, afisa habari wa Simba Haji...

Kipi kimemfanya Modric kuwa bora msimu uliopita?

Luka Modric, ni moja ya wachezaji wenye nidhamu ya hali ya juu akiwa uwanjani kiukweli amekuwa anajituma sana wakati anatoka klabu ya Tottenham, na...

Beki mpya wa Simba aliachwa huru na Asec Mimosas?

"Msimu tulimuona kwenye mechi za awali akiwa anaanza kikosi cha kwanza. Baadae mwalimu Siaka Traore akamtumia Christian Angbandji ambaye alikuwa akiuguza majeraha. Lakini msijali...

Nani wa kumzuia Man City?

Na Robert Komba Kwa Mara nyingine tena wakicheza dhidi ya Bournemouth, Manchester city wanapata ushindi wa mabao 3-1. Ni ushindi wa 12 katika mechi 14...

Ni Vita ya mafundi Maurcio Pochettino vs Jurgen Klopp, Kane vs Salah, moto unaendelea...

Baada ya UEFA Nations League, hauna haja ya kurudisha rimoti kwani DSTV Moto hauzimi na unaendelea kuwaka wikiendi hii kwa ligi mbali mbali kuendelea...

Pep aweka bei ya De Bruyne hadharani na aingilia kati suala la Sterling

Kati ya roho za klabu ya Manchester City hivi sasa ni Kelvin De Bruyne, ukimgusa De Bruyne baasi utakuwa umeigusa Man City na huyi...

Je Arsenal watavunja mwiko wa kutokushinda michezo miwili mfululizo ugenini

Arsenal mara yao ya mwisho kutia mguu St James' Park walitandikwa mijeledi 2-1. Safari hii Unai Emery anawapeleka tena vijana wake kupimana ubabe na...

Mario Balotelli aibuka na jipya, achelewa mazoezini lakini arejea na kilo 100

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa na mjasili haachi asili hii ni ukiwaza alichochanya moja washambuliaji watukutu ulimwenguni Mario Balotelli. Sasa wakati Mario Balotelli...

Majeraha ya Atletico ndio chanzo cha mikeka kuchanika

Diego Simeone amekiri kuwa mzimu wa majeruhi unaiandama sana Atletico Madrid. Licha ya kikosi cha Atletico kuonekana imara msimu huu lakini bado mambo hayajakaa vizuri....

Man City yaweka rekodi ya pato kubwa kwa mara ya kwanza katika historia yao.

Mabingwa wa ligi kuu Uingereza Manchester City wamewasilisha mapato yao ya msimu uliopita ambapo yanafikia £500.5 millioni sawa na dola ($652 millioni) kwa msimu...

HATARI: Deni la Juventus laongezeka mara mbili

Juventus jana wametoa takwimu zao za mapato na matumizi ya mwaka ulioshia mwezi June. Repoti hiyo inaonesha kuwa deni la klabu hiyo limeongezeka mara...
472,343FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,217FollowersFollow

Instagram