Wednesday, September 19, 2018

Featured

Home Featured
Featured posts

BENZEMA SASA BASI TIMU YA TAIFA, NI KUTOKANA NA KESI YA NGONO

Waziri mkuu wa Ufaransa Manuel Valls ametishia nafasi ya mshambuliaji Karim Benzema katika timu ya taifa ya Ufaransa kutokana na kushiriki tukio la video...

ILE MOVIE KATI YA SIMBA NA AZAM IMEMALIZIKA NA MSHINDI KAPATIKANA

Ile movie iliyokuwa ikichezwa kati ya klabu ya Simba na Azam FC zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara imeshamalizika huku klabu ya Simba ikifanikiwa kumtwaa...

Top 3 ya Ballon D’or kuwagharimu Barcelona Bil. 5 – sababu hii hapa

Katika biashara yoyote unayoifanya katika ulimwengu huu kuna vitu vya aina mbili: Hasara na faida. Katika biashara ya usajili ya kumsajili Neymar Dos Santos,...

MOURINHO AMCHIMBA ‘MKWARA’ DIEGO COSTA, AMTAKA ABADILIKE

Kocha Jose Mourinho wa Chelsea, ameponda uwezo wa nyota wake Diego Costa kwamba amepoteza makali na kwamba anashindwa kuongoza timu ipasavyo katika safu ya...

RATIBA YA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA WEEKEND HIII

Baada ya pilika za wiki nzima hatimaye leo ni ,mapumziko, kwa wale wapenda soka leo ligi mbalimbali barani Ulaya zitaendelea kwa mechi kadhaa kupigwa....

TUANZIE WAPI ILI KUWAPATA SAMATTA, ULIMWENGU, KWA AJILI YA TAIFA STARS YA KESHO?

Na Wilfred Kadege, Dar es Salaam Habari zenu wanajamii wa kitanzania hasa wale wapenda soka. Nimekaa nikafikiri sana na kupata muarobaini ambao ukitumika ipasavyo kwa...

Kauli ya Van Gaal juu ya kumrudisha Ronaldo Old Trafford msimu ujao.

Baada ya tetesi za muda mrefu sana kuhusu kurudi nyumbani kwa mtoto kipenzi wa Old Trafford - Cristiano Ronaldo, hatimaye kocha wa United Louis...

ADEBAYOR AMERUDI UWANJANI NA JEZI YA TOTTENHAM HOTSPURS

Mchezaji wa kimataifa wa Togo mwenye miaka 31 amerudi tena uwanjani akiwa amevaa jezi Tottenham Hotspurs kucheza mechi ya kujitolea kwa ajili ya foundation...

STURRIDGE SASA MAMBO SAFI LIVERPOOL

Mshambuliaji Daniel Sturridge wa Liverpool amejitangaza kuwa yuko fiti na sasa anatarajiwa kurudi uwanjani mara baada ya kuwa ameanza mazoezi na kikosi cha kwanza...

HUU NDIO USHAURI WA BECKHAM KWA MEMPHIS DEPAY

David Beckham amemshauri winga wa sasa wa Manchester United mholanzi Memphis Depay kuwa asiiogope jezi namba 7 wala kuichukulia kwa mzaha na kwamba ni...

STORY KUBWA